Uchaguzi 2020 Waraka wangu kwa CHADEMA kuhusu kampeni

Sijui kama ni kweli unaitakia CHADEMA mema. CHADEMA wameigawa Dar x3 - Kawe, Mbagala na Segerea. Kwa akili yako hiyo ndogo, unategemea watu wajae kama mtu mwenye mkutano mmoja tu katika nchi nzima halafu watu wanasombwa kutoka sehemu mbalimbali? Halafu ukiogopa matukio ya watu wengine, lini utafanya kampeni? Kila siku ina matukio. Ijumaa watu wanaenda misikitini, Jumamosi na Jumapili - makanisani. J'2 hadi Ijumaa, makazini. Unajiona wewe mchambuzi sana kumbe pumba tu.
Mbona Lowassa 2015 alijaza uwanja wa Mbagala?? Acha kujiliwaza mkuu! Mleta Mada ametoa hoja ya uhakika mnatakiwa kuifanyia kazi lakini kwa kuwa nyinyi ni pinga pinga tu basi endeleeni kupinga mpaka 28/10/2020.
 
Tatizo unaelewa content nusunusu,, Hapo umejikita kwenye point moja..

Vipi kuhusu matukio ya Leo ya Simba na Yanga yanayoendelea.
Je unajua Kama tukio la Yanga pekee Leo litameza watu Zaid ya elfu60 ambao wengi Ni wakazi wa jiji la Dar hao niwale watakaoenda kwa Mkapa uwanjwani Achana na wale watakaokuwa kwenye mabanda umiza na personal TV.

Je wajua Tanzania nzima Leo wananchi wengi watakuwa busy kufuatilia mechi za Simba na Yanga kuliko mikutano yeyote ya kisiasa?

Jifunze kusoma nyakati kabla hujapanga kitu.
Mkuu unahangaika na "Utopolo" hauwezi kukuelewa!
 
Point kubwa hapo siyo picha Bali upangaji wa ratiba za kampeni usioangalia uwepo wa matukio Mengine makubwa yanayovuta attention za watu.

..ushauri wako ulikuwa ni nini?

..mikutano ya kisiasa ilizuiliwa kwa miaka minne kwa vyama vya upinzani.

..hivyo wapinzani hawatakiwa kupumzika hata siku moja kipindi hiki cha kampeni za kuelekea ktk uchaguzi.

..kwanza, ni muda mchache uliopo kabla ya siku ya uchaguzi, pili hawana uhalali wa kupumzika kwani walikuwa wamepumzika miaka 4?

..CDM wameeleza kuwa watarudi tena Dsm kwa raundi ya pili ya mikutano ya kampeni.
 
Kwa nini wabunge wenu walikuwa hawafanyi mikutano? Mwenyekiti wenu Faru John wapigakura wake walilalamika kuwa tangu achaguliwe alikuwa hafanyi mkutano hata mmoja ameona mwaka huu wa uchaguzi ndiyo anakimbia kwenda kufanya mikutano! hadi ofisi alinyang'anywa kwa kuwa alikuwa haitumii kabisa muda wote yuko Dar tuu!!
 
Dah...mwisho kabisa...kama ushauri wote wanaopewa hawazingatii...na wakiona mambo hayaendi...watafute sababu yoyote hata kama ya kipuuzi.... wajitoe au wavuruge uchaguzi [emoji2960]
Tatizo linakuja huwa wanatoa sababu za hovyo ambazo hata hushindwa kuzitekeleza. Walisema kabla ya mikutano yao watakuwa wanaanza kwa maandamano kwanza naona nalo limeyeyuka hivyo baada ya kukosa sapoti kutoka kwa wananchi.
 
Kwa nini wabunge wenu walikuwa hawafanyi mikutano? Mwenyekiti wenu Faru John wapigakura wake walilalamika kuwa tangu achaguliwe alikuwa hafanyi mkutano hata mmoja ameona mwaka huu wa uchaguzi ndiyo anakimbia kwenda kufanya mikutano! hadi ofisi alinyang'anywa kwa kuwa alikuwa haitumii kabisa muda wote yuko Dar tuu!!

..Saidi Kubenea alikuwa akinyimwa ruhusa ya kufanya mikutano ktk jimbo lake kila alipoomba kufanya hivyo.

..huo ni mfano mmoja tu wa kilichokuwa kinaendelea ktk zuio hili la mikutano. ilifika wakati hata mikutano ya ndani, na vikao vya kikatiba vya vyama vya upinzani vilikuwa vinavurugwa na vyombo vya usalama.
 
Mbona Mbowe ndiye kawafukuza TBC
Pascal , Cdm wanaingia kwenye campaign za uchaguzi mkuu. Kwanza wakiwa wamevurugwa ki saikolojia !. Kitendo cha wagombea wao karibu 60 kuenguliwa ni jambo linalowavunja mioyo. Pili Cdm wamewekewa vikwazo ki habari , na tatu ukumbuke Cdm wanatumia rasilimali za watu kujitolea. Tofauti na wenzao Ccm wanaotumia rasilimali za serikali na taifa bila kuhojiwa chochote !!.

Ukiniuliza campaigns nyingi za ki Africa. Viwanja vyake si leveled. Bora hata hao Cdm wanajitutumua
 
Umenena vema Ila jiandae kwa matusi
Ndugu zangu Viongozi na wanachama wote wa CDM bila kupoteza Muda naomba niwape ujumbe wangu huu kwa leo;

"Ni dhahili na ukweli usiopingika kuwa idadi ya Watanzania ambao wamekuwa wakijitokeza kwenye kampeni za CDM Ni ndogo mno ukilinganisha na matarajio yaliyokuwepo, Mfano hakuna alietegemea Kama kwenye ufunguzi wa kampeni pale Mbagala kutakuwa na idadi ndogo vile ya Wananchi utafikiri kampeni za mbunge au udiwani wakati Ni ufunguzi wa kampeni za Chama Tena chini ya mgombea urais kabisa, pia hata Jana pale kawe hiyo idadi ilikuwa ndogo Sana ukilinganisha na idadi ya kawe wakati wa Lowassa ".

JE NIWAPI MNAKOSEA HADI MNAKOSA WATU? JIBU HILI HAPA;

"DSM Ni jiji lenye mishemishe nyingi na watu wake Ni wenye mishemishe nyingi, hivyo usipopanga Ratiba zako vizuri kwa kuangalia na Ratiba zingine zinazoendelea ndani ya jiji Hilo Basi tegemea kujikuta upo mwenye tu katika hiyo Ratiba yako"

Hivyo Basi kosa kubwa walilolifanya waratibu kampeni za CDM walishindwa kupanga Ratiba za kampeni kwa kuendana na Ratiba za matukio muhimu yanayoendelea DSM, na hizi ndo hesabu za Ratiba zilizowachenga;

1. Ufunguzi wa kampeni siku ya ijumaa; Ndg zangu CDM mnatambua kabisa siku ya ijumaa huwa Kuna Ibada ya ijumaa ambayo Watoto, wanawake na wanaume huenda kuswalia msikitini kwa pamoja, na Mbagala Ni sehemu iliyo na waisilam wengi hivyo haikuwa rahisi watu wasitishe shughuli Yao mhimu ya kwenda kuswali kisa kwenda kuwasikiliza wanasiasa.

2. Kuendelea kwa kampeni Jana Kawe; waratibu kampeni za CDM walishindwa kuoanisha tukio kubwa lililokuwa linatokea Jana na tukio lao. Niukweli usiopingika kuwa, Ufunguzi wa kampeni za CCM Jana ulikuwa ukifuatiliwa na Watanzania wengi Sana waliokuwepo Dodoma na ambao hawakuwepo Kupitia mitandao na vyombo vya habari Kama TV, na hii nikutana na uzito wa chama hicho pia kuwa na wanachama wazito na wenye ushawishi katika jamii pia uwepo wa wasanii Wakubwa Tanzania Kama diamond, Konde boy , Alikiba, Nandy na n.k kuliongeza idadi ya Watanzania wengi wasing'atuke kwenye tv zao.

Hivyo Basi kwa maelezo hayo Wakazi wengi wa dar es salam waliungana na Watanzania wenzao kutoka mikoa mingine kufuatilia kilichokuwa kinaendelea pale Dodoma katika viwanja vya Jamuhuri na kujikuta wamekosa muda wa kuja kawe kwenye kampeni zenu. (Ikumbukwe Kuna baadhi ya wasanii waliokuwepo Jana Wana wafuasi wengi na mashabiki wao wengi kuliko hata baadhi ya wafuasi wa vyama baadhi hapa nchini).

3. Mkutano wa leo Segerea; CDM na Leo tegemeeni kabisa mkutano wenu kukosa mvuto kwasababu ya idadi ndogo ya watu itakayokuwepo. Kwanini nasema hivi?

Leo katika uwanja wa Dodoma Kuna tukio la kuazimisha "SIKU YA TIMU YA WANANCHI (Yanga sc)" hili Ni tukio kubwa Sana na lenye mvuto wake kwa jiji la Dar na Tanzania kwa ujumla, hivyo Basi wakazi wa DSM zaidi ya elfu60 watakuwa uwanja wa Taifa kuazimisha siku hiyo na Maelfu kwa Maelfu ya Watanzania watakuwa busy kufuatilia tukio Hilo mitandaoni na kwenye runinga.

PILI; Leo huko Arusha Kuna mapambano mkali unaotarajiwa kulindima mnamo majila ya 9;30 alasiri Kati ya Simba na Namungo, Ikumbukwe hii Ni mechi mhimu Sana na yenye kuvuta attention za Watanzania wengi, hivyo watu watakuwa busy kufuatilia kinachojili katika hii mechi kuliko kuja au kufuatilia tukio la kisiasa. Mpaka hapo tunaona kabisa Simba na Yanga tu kwa leo inaenda kuteka Maelfu kwa Maelfu ya Watanzania kufuatilia Nini kinajili katika viwanja waliopo.

Finally; kwa maelezo hayo Ni dhahili kabisa kwa Siku tatu zote za kampeni mlizotumia Dar Naweza kusema mmepoteza pakubwa kuliko mlivyotegemea kupata, na hii imesababishwa na mpangilio mbovu wa ratiba za kampeni zenu.

Naipongeza Kamati ya kuratibu kampeni za CCM kwa kupanga Ratiba zao kwa kuoanisha na matukio mhimu mengine yanayotokea nchini. Siku ya Jana Tanzania hapakuwa na tukio kubwa la kuwafanya watu wasifuatilie uzinduzi wa kampen zao (³CCM) badala yake kampeni hiyo ndo ilikuwa tukio kubwa kwa Watanzania wengi, lakini kama CCM wangeweka siku ya ufunguzi wa kampeni zao kuwa leo Basi Ni dhahili wangepunguza idadi ya watu wengi Sana kuwafuatilia kutokana na matukio mhimu na yenye mvuto kwa Watanzania wengi yanayoendelea Leo Kama vile; Kusali, Siku ya Wananchi kwa Mkapa stadium na Fainal ya Ngao ya jamii Kati Simba sc na Namungo fc.

Mwisho; Najua tayari menejimenti inayoratibu kampeni za CDM ishachelewa kuleta ushawishi na shamlashamla za kampeni kwa jiji la Dar Basi naomba makosa mliyoyafanya ya kiratiba yasijirudie Tena huko mnakotarajia kwenda hasa kwenye majiji makubwa, Msiwaone CCM leo kuwa kimya angali Jana wamefungua kampeni wanajua leo Watanzania watakuwa busy kufuatilia Mambo ya Simba na Yanga hivyo wakiendesha mkutano hawatafuatiliwa na watu wengi. Nyie Hilo hamulioni nyie nikwenda tu matokeo yake mnaishia kuaibika kwa Kugeuza mkutano wa mgombea urais wenu kuonekana Kama mkutano wa Wagombea udiwani au mkutano wa vyama Kama SAU na CHAUMA.

#Wananchi wote Tukutane kwa Mkapa hapo baadae tuna letu Jambo pale.
#Wa Simba na Namungo Tukutane Kwenye Viunga vya Arusha tuna letu Jambo pale mtoto hatumwi dukani.
#Wakristo Tukutane Kwenye maombi ya jioni baada ya Ibada ya sasahivi tuna letu Jambo la baraka pale.
Ahsanteni muwe na J.pili njema,.

View attachment 1552755View attachment 1552757
 
Kuna SAU, CHAUMA, CUF, ACT... nao wanagombea. Nao wanahitaji mapenzi yenu hayo. Siyo CHADEMA tu.

Pili, 2015 mlisema Lowassa alikuwa anakusanya wahuni ambao hawakujiandikisha. Ama umesahau? Kwa nini tusiseme wale wa Dodoma jana ni wahuni ambao hawakujiandikisha pia?

Mmejaza nchi dhuluma. Mnafanya kazi na tume kuandaa barua za mapingamizi na kusaini majina ya wagombea wa vyama vingine, ambao wamezikana hizo barua, kule Zanzibar! Siyo uchaguzi huu. Ni uhuni. Uchaguzi ni kuwa na wagombea wa vyama mbalimbali, kueleza sera zao, na mwisho wananchi wanachagua ni nani wanayemtaka. Kama unatetea huu ufedhuli wewe ni fara tu.
Mbona Lowassa 2015 alijaza uwanja wa Mbagala?? Acha kujiliwaza mkuu! Mleta Mada ametoa hoja ya uhakika mnatakiwa kuifanyia kazi lakini kwa kuwa nyinyi ni pinga pinga tu basi endeleeni kupinga mpaka 28/10/2020.
 
Tatizo wewe unashindwa kutambua kuwa CCM Jana mkutano wao ulikuwa live kwenye platform zaidi ya 10 za Online TV pia live videos zilikuwepo za kutosha Facebook ikiwemo na official page ya Rais Magufuli.
Pia Hilo tukio lilikuwa mbashara kwenye tv zaidi ya moja ikiwemo TBC na nk.
Hivyo Basi ukija kuangalia Total wanatazamaji na wafuatiliaji wa mkutano huo utajikuta Ni zaidi ya Mara kumi ya hiyo idadi ya 2.5k.

Mwisho; ndg inatakiwa TU utambue kuwa hakuna mtu ambae anaweza kuwa anaangalia kitu kwenye tv mbashara halafu kitu hichohicho akiangalie tena kwenye Online TV.
Na pia inatakiwa ujue Mara nying online tv inaangaliwa na mtu mmoja mmoja lkn palipo na TV kunaweza kukawa na mtu mmoja au kundi kubwa la watu.

Kihesabu; Ukitaka kujua idadi kamili ya watu waliokuwa mbashara na mkutano wa CCM, Chukua idadi ya Vyombo vya habari na online platform zote zilizokuwa zinarusha Hilo tukio live then piga factorial yake ndo utapata idadi kamili.
Let's say Minimum total 10.
Then 10!= 10×9×8×7×6×5×4×3×2×1= 3,628,8000.

Conclusion; Zaidi ya watu milion3+ walikuwa mbashara na Mkutano wa CCM...

Note; mathematics never lie.
Mzee Hawa BAVICHA Huwezi kuweleza Jambo LA Maana Wakakusikiliza umeongea point Sana nilitegemea wakubaliane kabisa na wewe kuwa kunashida sehemu kila sasa Eti wao Wanaona Mambo Yanakwenda saws kabisa hahaha BAVICHA WANAWEZA BISHA KUWA CHADEMA HAINA PESA YA KAMPENI
 
Ndugu zangu Viongozi na wanachama wote wa CDM bila kupoteza Muda naomba niwape ujumbe wangu huu kwa leo;

"Ni dhahili na ukweli usiopingika kuwa idadi ya Watanzania ambao wamekuwa wakijitokeza kwenye kampeni za CDM Ni ndogo mno ukilinganisha na matarajio yaliyokuwepo, Mfano hakuna alietegemea Kama kwenye ufunguzi wa kampeni pale Mbagala kutakuwa na idadi ndogo vile ya Wananchi utafikiri kampeni za mbunge au udiwani wakati Ni ufunguzi wa kampeni za Chama Tena chini ya mgombea urais kabisa, pia hata Jana pale kawe hiyo idadi ilikuwa ndogo Sana ukilinganisha na idadi ya kawe wakati wa Lowassa ".

JE NIWAPI MNAKOSEA HADI MNAKOSA WATU? JIBU HILI HAPA;

"DSM Ni jiji lenye mishemishe nyingi na watu wake Ni wenye mishemishe nyingi, hivyo usipopanga Ratiba zako vizuri kwa kuangalia na Ratiba zingine zinazoendelea ndani ya jiji Hilo Basi tegemea kujikuta upo mwenye tu katika hiyo Ratiba yako"

Hivyo Basi kosa kubwa walilolifanya waratibu kampeni za CDM walishindwa kupanga Ratiba za kampeni kwa kuendana na Ratiba za matukio muhimu yanayoendelea DSM, na hizi ndo hesabu za Ratiba zilizowachenga;

1. Ufunguzi wa kampeni siku ya ijumaa; Ndg zangu CDM mnatambua kabisa siku ya ijumaa huwa Kuna Ibada ya ijumaa ambayo Watoto, wanawake na wanaume huenda kuswalia msikitini kwa pamoja, na Mbagala Ni sehemu iliyo na waisilam wengi hivyo haikuwa rahisi watu wasitishe shughuli Yao mhimu ya kwenda kuswali kisa kwenda kuwasikiliza wanasiasa.

2. Kuendelea kwa kampeni Jana Kawe; waratibu kampeni za CDM walishindwa kuoanisha tukio kubwa lililokuwa linatokea Jana na tukio lao. Niukweli usiopingika kuwa, Ufunguzi wa kampeni za CCM Jana ulikuwa ukifuatiliwa na Watanzania wengi Sana waliokuwepo Dodoma na ambao hawakuwepo Kupitia mitandao na vyombo vya habari Kama TV, na hii nikutana na uzito wa chama hicho pia kuwa na wanachama wazito na wenye ushawishi katika jamii pia uwepo wa wasanii Wakubwa Tanzania Kama diamond, Konde boy , Alikiba, Nandy na n.k kuliongeza idadi ya Watanzania wengi wasing'atuke kwenye tv zao.

Hivyo Basi kwa maelezo hayo Wakazi wengi wa dar es salam waliungana na Watanzania wenzao kutoka mikoa mingine kufuatilia kilichokuwa kinaendelea pale Dodoma katika viwanja vya Jamuhuri na kujikuta wamekosa muda wa kuja kawe kwenye kampeni zenu. (Ikumbukwe Kuna baadhi ya wasanii waliokuwepo Jana Wana wafuasi wengi na mashabiki wao wengi kuliko hata baadhi ya wafuasi wa vyama baadhi hapa nchini).

3. Mkutano wa leo Segerea; CDM na Leo tegemeeni kabisa mkutano wenu kukosa mvuto kwasababu ya idadi ndogo ya watu itakayokuwepo. Kwanini nasema hivi?

Leo katika uwanja wa Dodoma Kuna tukio la kuazimisha "SIKU YA TIMU YA WANANCHI (Yanga sc)" hili Ni tukio kubwa Sana na lenye mvuto wake kwa jiji la Dar na Tanzania kwa ujumla, hivyo Basi wakazi wa DSM zaidi ya elfu60 watakuwa uwanja wa Taifa kuazimisha siku hiyo na Maelfu kwa Maelfu ya Watanzania watakuwa busy kufuatilia tukio Hilo mitandaoni na kwenye runinga.

PILI; Leo huko Arusha Kuna mapambano mkali unaotarajiwa kulindima mnamo majila ya 9;30 alasiri Kati ya Simba na Namungo, Ikumbukwe hii Ni mechi mhimu Sana na yenye kuvuta attention za Watanzania wengi, hivyo watu watakuwa busy kufuatilia kinachojili katika hii mechi kuliko kuja au kufuatilia tukio la kisiasa. Mpaka hapo tunaona kabisa Simba na Yanga tu kwa leo inaenda kuteka Maelfu kwa Maelfu ya Watanzania kufuatilia Nini kinajili katika viwanja waliopo.

Finally; kwa maelezo hayo Ni dhahili kabisa kwa Siku tatu zote za kampeni mlizotumia Dar Naweza kusema mmepoteza pakubwa kuliko mlivyotegemea kupata, na hii imesababishwa na mpangilio mbovu wa ratiba za kampeni zenu.

Naipongeza Kamati ya kuratibu kampeni za CCM kwa kupanga Ratiba zao kwa kuoanisha na matukio mhimu mengine yanayotokea nchini. Siku ya Jana Tanzania hapakuwa na tukio kubwa la kuwafanya watu wasifuatilie uzinduzi wa kampen zao (³CCM) badala yake kampeni hiyo ndo ilikuwa tukio kubwa kwa Watanzania wengi, lakini kama CCM wangeweka siku ya ufunguzi wa kampeni zao kuwa leo Basi Ni dhahili wangepunguza idadi ya watu wengi Sana kuwafuatilia kutokana na matukio mhimu na yenye mvuto kwa Watanzania wengi yanayoendelea Leo Kama vile; Kusali, Siku ya Wananchi kwa Mkapa stadium na Fainal ya Ngao ya jamii Kati Simba sc na Namungo fc.

Mwisho; Najua tayari menejimenti inayoratibu kampeni za CDM ishachelewa kuleta ushawishi na shamlashamla za kampeni kwa jiji la Dar Basi naomba makosa mliyoyafanya ya kiratiba yasijirudie Tena huko mnakotarajia kwenda hasa kwenye majiji makubwa, Msiwaone CCM leo kuwa kimya angali Jana wamefungua kampeni wanajua leo Watanzania watakuwa busy kufuatilia Mambo ya Simba na Yanga hivyo wakiendesha mkutano hawatafuatiliwa na watu wengi. Nyie Hilo hamulioni nyie nikwenda tu matokeo yake mnaishia kuaibika kwa Kugeuza mkutano wa mgombea urais wenu kuonekana Kama mkutano wa Wagombea udiwani au mkutano wa vyama Kama SAU na CHAUMA.

#Wananchi wote Tukutane kwa Mkapa hapo baadae tuna letu Jambo pale.
#Wa Simba na Namungo Tukutane Kwenye Viunga vya Arusha tuna letu Jambo pale mtoto hatumwi dukani.
#Wakristo Tukutane Kwenye maombi ya jioni baada ya Ibada ya sasahivi tuna letu Jambo la baraka pale.
Ahsanteni muwe na J.pili njema,.

View attachment 1552755View attachment 1552757
Well said..
Mwenye masikio asikie, siyo kupanga ratiba tuu ili mradi
 
Mzee Hawa BAVICHA Huwezi kuweleza Jambo LA Maana Wakakusikiliza umeongea point Sana nilitegemea wakubaliane kabisa na wewe kuwa kunashida sehemu kila sasa Eti wao Wanaona Mambo Yanakwenda saws kabisa hahaha BAVICHA WANAWEZA BISHA KUWA CHADEMA HAINA PESA YA KAMPENI
Nyalandu amewasusa kwani? Si walisema anapesa nyingi za kutosha kwa Kampeni??
 
Umejitahidi kuwapa mbinu, washindwe wenyewe Sasa.
 
Mkuu hapa hoja siyo wasanii, hoja Ni hii hapa;

Kwanini Chadema wanapanga Ratiba zao za mikutano ya kampeni pasipo kufanya utafiti wa kina juu ya siku husika.
Mfano; Mkutano wa leo wa Segerea tegemea kabisa kupata mvuto mdogo kutoka kwa wana dsm kutokana na uwepo wa tukio la Siku ya timu ya wananchi leo kwenye uwanja wa Mkapa.
Pia kuwepo kwa mechi ya Ngao ya jamii Kati ya Simba na Namungo huko Arusha.

Menejimenti ya CCM inalitambua Hilo na ndo Maana leo haijaendelea na kampeni zake ili kupisha kwanza matukuio haya ambayo huwa yanateka Watanzania wengi Sana.

Utafiti lazima watakuwa wamefanya. Na tafoti ina angle tofauti, kwa angle yako uko sahihi na kwa angle yako wako sahihi pia.
 
Ccm ni sawa na mwanamke miguu imepinda lakini amepaka cream ya kufa mtu ili eti ndio awavutie wanaume. 😛😛😛
 
Back
Top Bottom