Waraka wangu kwa Flora Mbasha.

Status
Not open for further replies.

Truth guy.

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
396
Reaction score
196
Mume wako amekumbwa na kashfa ya kubaka,tukio hilo limetokea wakati wewe ikisemekana umemkimbia mumeo na kwenda kupanga hotelini,unakumbuka kiapo chako kanisani?

Uliapa mbele za MUNGU hutomuacha mumeo ktk shida yoyote hadi kifo kiwatenganishe,leo umeanza migogoro isiyo na kichwa wala miguu, mimi hunijui ila wewe nakujua A to Z, taarifa nzito za ndani kabisa nilizonazo kuhusu wewe ni kwamba umekuwa mara nyingi sana ukimnyima unyumba mumeo.

Na pia kuna jamaa mmoja mwenye uwezo flani kipesa amekuwa akikutaka kimapenzi, awali ulijitahidi sana kumkataa, sina taarifa sahihi iwapo uliamua kuasi ndoa yako na kutembea naye,na mumeo kuamua kujifariji kwa huyo binti anayejiita mlokole kumbe ni kahaba aliyekubuhu.

Sitaki kukutuhumu wewe wala mumeo, ila nina maswali kadhaa nataka nikuulize: Kwanini umekimbia nyumba yako? Je?! wajua kuwa mwanamke ndo kila kitu ktk familia? Hujui kuwa kukimbia kwako familia ni kumpa nafasi shetani abomoe ndoa yako? Hotelini unalala na nani? Babu yako Kulola alikufundisha hivyo? Wewe ni mcha MUNGU?
 
Pole zake. Ole wao waitao Mungu Mungu kumbe waovu ndani ya mioyo yao. Ngozi ya kondooo ndani mbwa mwitu.
 
japokuwa ameanza siku nyingi kumtesa mumewe,ila zaidi alisubiria kwanza babu yake afe ndo afanye uhuni wa dhahiri,ndugu zangu, ni wachache kati yenu mnajua kuwa ni rahisi sana kutajirika,ila siyo kupata mke mwema,maneno haya si ya kwangu,bali ni ya MUNGU ktk mithali 19:14 nawatahadharisha kuwa,msione watu wanauza sura ktk magazeti na tv mkadhani kuwa wanaishi better life na wana amani,Flora kaisaliti ndoa yake kisa pesa,amesahau kiapo chake mbele za MUNGU,naamini kwa dhati kabisa,laiti kama mzee Kulola angekuwa bado hajaitwa na MUNGU,Flora asingetanua makucha kiasi cha kukimbia nyumba,angekuwa muungwana angetulia kwake,hakuna kitu kinauma kama mke,pole sana kaka yangu Mbasha,uchungu ulinao ni sawa na kufiwa. mkewe,kanyimwa sana unyumba,hata hivyo ni mvumilivu sana,tangu lini mke mwema akakimbia nyumba yake? kama mumewe ni mbaya angetulia kwake ili jamii ione,na siyo kwenda hotelini,huko analiwa tigo kila siku,shetani anawatumia sana hawa walokole feki na ndo ma agent wake, wenye akili wametambua ukweli.
 
Nafikiri hili suala la kina Mbasha Lina misukumo mingi sana nyuma ya pazia! Inapoelekea tutafahamu hata yale ya ndani kabisa kwenye familia. Ni suala la muda tu!
 
Hii issue ishamake headline vya kutosha
 
Unajuaje kama mwanaume ndiye kateswa?Flora Mbasha naye mbona uso umeannza kumwagika hajachoka na usichana?Tuwaombee maana waliishi mapenzi ya kitamthilia wakiwa mbele za watu kumbe ndani ni pwagu na pwaguzi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Repeat a lie several times, eventually it will set itself as a true……..
 
analiwa Ti..GOOO na nani Gwa......ma au?????loooh
 
Kumbe sababu ni kuliwa tigo ndo kumefanya hayo yote
 
Kwanza amani itokayo kwa bwana na mwokozi wetu yesu iwe nanyi,

1 nawapa pole na majaribu haya mnayo yapitia. kwenye ndoa yenu, nawaomba muwe watulivu katika wakati uhu mgum,

2 flora na kusii katika bwana ondoa hasira kwani asira uketi kifuani mwampumbavu [mhu 7:9] nimechukua uamuzi uhu wa kujitokeza hapa kwenye ukurasa uhu kuwapatanisha na siivinginevyo, bblia inasema:heri wapatanishi maana hao wataitwa wana wa mungu:[mt 5:9] flora mungu wetu ni mungu wa amani,ikiwa sisi tulikosa na yeye akamtuma mwanawe ili kutuokoa na kutusamehe,basi nasi hatuna budi kusamehe wengini, yesu mwenyewe anatuambia haya,ili na sisi tupate kusamehewa.[mt 7:12] flora naomba urudishe moyo wako nyuma tafakari mlipotoka na mumeo, wafikirie watoto wenu wataathirikaje na kutengana kwenu?

Kumbuka shetani akisha washinda katika eneo la ndoa basi amekamata na uzao wenu,maana hilo ndio lengo lake, kuvuruga maisha yenu na uzao wenu. Ikiwa mbasha alikosa ndani ya hilo kosa kuna mlango wa shetani nyuma yake.

Msiliangalie tatizo bali angalieni madhara ya tatizo na hekima itumike kutatua tatizo hilo,kuliko kuvuna hasara na majuto kwa maamuzi yoyote yatokanayo na hasira.

Msaidie mumeo muombee mumeo mlinde mumeo.wewe ni mlinzi wake [yer 31:22] kumbuka shetani anamuwinda mumeo usiku na mchana ili amuangamize, [yoh 10:10] usikubali kuwa sehemu ya kumsaidia shetani juu ya kutimiza lengo lake juu ya mumeo, kwani ningejua inakuja baada yaha.

Mwisho nageuka kwa ndg mbasha ikiwa ulitenda jambo hilo kumbuka tunaye mpatanishi,yesu kristo bwana na mwokozi wetu, rudi kwake kwa toba [1yoh 2:1>2] na roho mtakatifu ataihuisha mioyo yenu na kuwajaza upendo na furaha mpya katika ndoa yenu. Ili yesu ainuliwe maishani mwenu,msiwaangalie watu wana sema nini juu yenu ninyi liangalieni neno la mungu lina sema nini juu yenu, asanteni kwa kuku bali niwe sehemu ya kumdhiirisha kristo yesu kati yenu aletaye upatanisho kwetu tumwaminio [1yoh 2:1>2] jina la bwana libarikiwe:
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…