Waraka wangu kwa Flora Mbasha.

Waraka wangu kwa Flora Mbasha.

Status
Not open for further replies.
Unauhakika Mbasha alibaka, unaripoti ya Dokta, Unavipimo vya DNA kuonyesha shahawa ni za Mbasha.?

Au wewe ndio uliebakwa.?

Siyo niliyebakwa ila najua side effect ya aliyebakwa.Mtu huyu aliyebakwa anajisikiaje mbele ya jamii,wengi wanaishia kujiua au kupoteza malengo kwenye maisha yao.

Kama hakubaka kwanini alikimbia na kujificha?Tatu ripoti ya daktari imeonyesha binti alibakwa,hiyo inatokana na waandishi wahabari waliohoji walioadhirika?Kama hakubaka kwanini alalamike sana?Haki yake ataipata mahakamani,kwa sasa ni mtuhumiwa tu.

Hakuna mtu aliyebaka akasema alibaka,wengi wanakana sababu ya adhabu yake.Bado Flora anatakiwa amtendee haki mdogo wake kwanza,sababu kuna dalili za kubakwa kwa binti huyo.Pili bado ni mtoto,na akikutwa na kosa ndugu yangu ana miaka yake 30,ajiandae tu,kama kweli amebaka,na pili akiri kosa lake.
 
prince crown,ubarikiwe kwa kazi nzuri.Laiti kama tunge kuwa positive kama wewe ktk jambo hili,tungeweza kuwa sehemu ya ufumbuzi wa tatizo si kwao hata kwa wengine. UMENIFANYA NIJIVUNIE KUWA MKRISTO.
 
mkuu ni vema ungepata no zao za simu uwatumie sms. maana mshikemshike walionao hata muda wa kuja humu hawana
 
Nashukuru dini yangu inaruhusu talaka, mapenzi yakiisha hamna haja ya kulazimisha, hamna haja ya kutafutiana sababu na kutengenezeana kesi.
Tunaachana kwa kheri...tena kwa kesi ya zinaa ndo kabisaaa kama msamaha hauwezekani basi ndoa inavunjwa.

Haya mambo ya kulazimisha mioyo ilochokana na kukinaiana na iliyofunga milango ya msamaha ni mabaya....mwishowe mnaweza kuta watu wametoboana visu vya koromeo.

Dini yako ni dini ya kulipa visasi na chuki!

Kwa dini inayohubiri upendo na msamaha,ndoa ni sehemu pekee muhimu ya kuonyesha mfano wa mafundisho hayo!
 
Acheni upuuzi nyie!mambo ya ndoa huwa hayaingiliwi,na muache kumsema mtumishi wa Mungu,hamjui kama mnaigusa mboni ya jicho la Mungu?yakiwakuta mtajua,ogopa sana
 
Acheni upuuzi nyie!mambo ya ndoa huwa hayaingiliwi,na muache kumsema mtumishi wa Mungu,hamjui kama mnaigusa mboni ya jicho la Mungu?yakiwakuta mtajua,ogopa sana
Mtumishi wa Mungu lazima awe mfano, kila siku tunahubiri Upendo na Uvumilivu - sasa mtumishi wa mungu Uvumillivu wake upo wapi? kukimbia familia (Mume) na kuishi uhamishoni?!! Inawezekana kabisa Shetani kaitikisa ndoa yake kidogo tu na Mtumishi wa Mungu katikisika, kaangukia pua na shetani anafurahia ushindi.

Kama wanawake wote wangefanya maamuzi kama yake hivi hata hapa Dar pekee tu kungekuwa na ndoa hai ngapi?
 
Msiwaguse nabii zangu wala msiwadhuru,
Hampaswi kuwasema vibaya kwasababu Mungu mwenyewe ana jua, sasa we huu nani unae msema mtumishi wa Mungu????
Je kama umemsema ambavyo yeye hajafanya uoni kama unajichumia laana??
Wewe mbona huandika madhaifu yako humu??ila kusema watu na kuandika habari za uongo ndio upo kipaumbele,
Acha iyo tabia yako
 
Mkuu mbona umekomalia sana kuwa analiwa TIGO huko hosptalini, huu ni uzi wa pili unaandika analiwa ndogo, umejuaje au we ndio Emma mwenyewe
 
Acheni upuuzi nyie!mambo ya ndoa huwa hayaingiliwi,na muache kumsema mtumishi wa Mungu,hamjui kama mnaigusa mboni ya jicho la Mungu?yakiwakuta mtajua,ogopa sana

Pole kama kusoma hujui hata picha umeshindwa kuona kuwa Gwajima sio mtumishi wa Mungu, jalibu kufananisha maisha ya Yesu na Gwajima halafu fananisha maisha ya viongozi wa kidunia na Gwajima utaona anafanana na nani.
 
Naendelea kusikitika na kamwe sitaacha kuongea Alichokifanya Flora Mbasha ni aibu kubwa kwa Familia yake na kwa wanawake wote wakristo.

Na Amewaambisha wapogoro ambao walikuwa na sifa nzuri ndani ya ndoa

Iweje uwe na ugomvi wa kindoa ukakae Hotelini?

Washenga waliowasimamia ndoa yao wameshafariki?

Wao kama wakristo kwa nini hawakuhusisha waazee wa kanisa , wazazi wa pande zote mbili kusuluhisha tatizo hilo?

Nimeusikiliza wimbo walio uimba Flora na Mumewe pia nimesikiliza mahojiano yake na Sporah Show kwa hiyo atatwambia anakula matapishi yake?

Mafundisho wa ndoa yanasemaje pale kunapotokea mgogoro ndani ya ndoa yako...

Niku hamia Hotelini au Unatakiwa kurudi aidha kwa Familia ya Upande wa mume au familia yako.

Sasa iweje aende akae hotelini na bado aendelee kushiriki kuabudu kanisani.

FLORA MBASHA UMEWAABISHA WANAWAKE NA UNAMTIA AIBU MWANAO WA KIKE AMBAYE MUDA HUU ANASEMWA MNO SHULENI KWAKE.
 
Acheni upuuzi nyie!mambo ya ndoa huwa hayaingiliwi,na muache kumsema mtumishi wa Mungu,hamjui kama mnaigusa mboni ya jicho la Mungu?yakiwakuta mtajua,ogopa sana

kwa hiyo mchungaji hata akifanya dhambi anaendelea kuwa mboni ya jicho la Mungu....nipe ufafanuzi kwa maandiko.
 
Yamechosha haya mambo ya flora tuongee mengine ya maendeleo hakuna cha ajabu aliachwa winie mandela sembuse huyo muimba kwaya ahha tumechoka sana
 
Sasa wanawake wote wa kikiristo wanaingia kwenye sakata la Mbasha na mumewe? Kajiaibisha Flora peke yake, hata wazazi wake hawahusiki, hakuna aliyemshikia miguu ili bwana mchungaji apitishe shedede.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom