Chukua like! Argument iliyokwenda shule!
Unauhakika Mbasha alibaka, unaripoti ya Dokta, Unavipimo vya DNA kuonyesha shahawa ni za Mbasha.?
Au wewe ndio uliebakwa.?
Nashukuru dini yangu inaruhusu talaka, mapenzi yakiisha hamna haja ya kulazimisha, hamna haja ya kutafutiana sababu na kutengenezeana kesi.
Tunaachana kwa kheri...tena kwa kesi ya zinaa ndo kabisaaa kama msamaha hauwezekani basi ndoa inavunjwa.
Haya mambo ya kulazimisha mioyo ilochokana na kukinaiana na iliyofunga milango ya msamaha ni mabaya....mwishowe mnaweza kuta watu wametoboana visu vya koromeo.
Mtumishi wa Mungu lazima awe mfano, kila siku tunahubiri Upendo na Uvumilivu - sasa mtumishi wa mungu Uvumillivu wake upo wapi? kukimbia familia (Mume) na kuishi uhamishoni?!! Inawezekana kabisa Shetani kaitikisa ndoa yake kidogo tu na Mtumishi wa Mungu katikisika, kaangukia pua na shetani anafurahia ushindi.Acheni upuuzi nyie!mambo ya ndoa huwa hayaingiliwi,na muache kumsema mtumishi wa Mungu,hamjui kama mnaigusa mboni ya jicho la Mungu?yakiwakuta mtajua,ogopa sana
Acheni upuuzi nyie!mambo ya ndoa huwa hayaingiliwi,na muache kumsema mtumishi wa Mungu,hamjui kama mnaigusa mboni ya jicho la Mungu?yakiwakuta mtajua,ogopa sana