KWELI WATANZANIA TUNAPENDA KUPOTEA
Watanzania wenzangu muda huu tunapoendelea kulumbana juu ya nani anamtaka wa dini gani, nani ni hatari kwa dini ipi.... na kuendelea kuzalisha chuki dhidi ya wenyewe kwa wenyewe wenzetu ndio wanapata fursa nzuri ya kuendelea kunyonya raslimali zetu kwa maslahi ya nchi zao.
Tangu lini dini ya mtu ikahusiana na maendeleo ya nchi.....je China ni nchi ya kidini? wao ni wakristo ? au ni waislamu? je wameangaika na nyaraka za kidini kuleta maendeleo yao? but look at what they have today THE MOST RESPECTED HIGH POPULATION WITH SUFFICIENT PURCHASING POWER. Wana sufficient internal market as well as external market share. Waangalie Europe wako busy kuunganisha nguvu zao mpaka wana sarafu moja, wamerahisisha milango ya biashara kati yao, nchi kama uturuki ambayo ni ya kiislamu imeona vema kujiunga na umoja huo kwa maslahi ya kiuchumi ya nchi. Wanachoongelea kwa kiasi kikubwa kwenye uchaguzi ni maendeleo.
Waangalie India -the Most qualitative high population of hardworkers who are least priced. Hawa wamekuwa kimbilio la Dunia nzima hasa International Corporations( kwa mfano Microsoft) kwa ajili ya kuajiri. Angalia jinsi wanavyoitetemesha dunia. Je vyombo vyao vya habari, viongozi wao wa kisiasa na kidini na wananchi kwa ujumla wana-accomodate mashindano ya kidini kana kwamba ndio msingi wa maendeleo?
Nikimkumbuka Baba wa Taifa ambaye japo amekwishaondoka duniani lakini yuko hai kuliko viongozi wengi tulionao alishatuonyesha kuwa udini, ukabila na ubaguzi mwingine ni ishara ya kuwa anayeutumia ni mbovu na hana namna nyingine ya kuthibitisha uwezo wake ili kustahili kuchaguliwa.
Hivi why don't we think about the future of this country and our share in the worlds economic bread in this current age of dot com generation, China Superpower, India emerge, European Union, Euro, G8, G20,Environment concerns, Gender sensitivity, HIV AIDS, Alternative energy sources, military and intelligency cooperations, World market Scrumble, Black US President, Money Laundering, Terrorism, Drug Abuse, Nuclear power struggle, Oil Explorations in Uganda , Rwanda and Burundi Recoveries, Scrumble and Pertition of Congo by almost the whole world, World Cup in South Africa and so many issues. Mind you these issues have a lot to do with the future of our country in 5, 10, 20 50, 100, 1000 years to come. We should not be so selfish to only think about our selves and lose the future of our children, grand children etc etc.......
We need leaders who think at least within the perimeters of the above para.. Who would merge the above issues of the current world to the resources we have...minerals, lakes, Ocean, Mountains, Kiswahili, National Parks, rivers, islands, Naturally fertile Soil, Land, Harmony and somekind of peace, a little non-tribalism, non-extreme weather..politeness of Tanzanians e.t.c and the result should be to utilize opportunities available to benefit our country Tanzania.
With UDINI HUU...Hatufiki kokote.... na Image yetu itakuwa nchi ya waendekeza udini, wauaji wa maalbino, wamalizikao kwa ukimwi, wanyanyasaji kijinsia, wavivu, wauzao nchi yao kwa wageni kwa maslahi binafsi( ili anko aende shule marekani)...
Ngoja niwaeleze ni kwa kusudi gani hawa wanaoendekeza udini huwa wanagombea. Niliyoandika hapo juu... hawataki hata kuyasikia au kuyaelewa.. sababu kubwa kwao ni kugombea ili wanapoingia madarakani wapate ULAJI..... ili wanunue mashamba, viwanja na Majumba kwa ajili ya familia zao kwa kupitia kusaini mikataba kipuuzi ya kuuza nchi yetu kwa wageni, Ufisadi wa kuua mashirika yetu kwa kuyauza kwa wahujumu wa nchi yetu bila kujali kwa kuwa wanajua madhara yatakapotokea watakuwa hawapo duniani...kwa sababu ya uendekezaji wao wa ngono, kuoa wake wapya kila mwezi maana pesa ya ufisadi ipo, kununua magari ya kifahari kwa pesa wanazoiibia serikali....yaani ni wataalamu wa misheni Town zinazoua nchi hii.
Sasa matapeli mafisadi hawa inapofika wakati wa uchaguzi hawana cha kujitetea kwa wananchi zaidi ya kuanzisha propaganda za kishenzi ili kufunika ukweli wa mambo. Haya ya kushutumiana watanzania na kushambuliana KIDINI NI PROPAGANDA TU ZA KISHENZI.
TUNATAKA MAENDELEO YA KWELI YA NCHI YETU...ACHENI UPUMBAVU...KAMA UNA ISHU ZAKO ZA KIDINI AU DINI YAKO IMO HATARINI SI UONGEE NA MUNGU WA DINI YAKO ASHUGHULIKE. KWA NINI UAMUE KUWA SIASA NDIO KITABU KITAKATIFU AU KITUKUFU CHA DINI YAKO.
MNATUCHANGANYA....TUONDOLEENI UPUMBAVU HUU. TUNATAKA MAENDELEO. HIZO NYARAKA ZIWE ZIMETOKA WAPI AU WAPI SIYO JAMBO LA MSINGI KWETU NA HAIONGEZI KIPATO CHA SISI WANYONGE.
KWENDENI ZENU!!!!!!!!!!!!!!!
akashube-Mtu wa Mungu