Warangi: Kabila lililojivunia mno asili yao

Warangi: Kabila lililojivunia mno asili yao

Dada zako kuna jamaa ana wasomba kutoka bushi nipini kweli wako bar hapa Temeke. Huwa nawahi day one baada ya hapo nawachia wateja wengine maana beki hazikabi kabisa.
 
Kwa Wanyaturu na Wanyantunzu umechanganya mafile
Wanyantuzu ni wasukuma wanaopatijana eneo la Ntuzu hata hawapatikani na hawo Wanyaturu
Mwandishi yuko sahihi, enzi hizo mchangamano ulikuwa mkubwa sana wa jamii za watu wa kaskazini na katikati ya eneo ambalo leo hii hujulikana kama taifa la TANZANIA
 
Nilibahatika kupata mpenzi wa kirangi kipindi hicho kilichopita. Kwa jinsi alivyokuwa mkarimu, mpole + mapenzi motomoto nilijikuta naanza mipango ya kumuowa kabisa. Kumbe kwao wakapata taarifa na kumuozesha kwa mtu mwingine, mdogo wake akaja kunipa story. Nilichukia sana, ila ikabidi niwe mpole tuu.
 
Shida ya Warangi Hawavai Chupi Wao Muda Wote Wanakuvulia Tu
Nilibahatika kupata mpenz wa kirangi kipindi hicho kilichopita. Kwa jinsi alivyokuwa mkarimu, mpole + mapenzi motomoto nilijikuta naanza mipango ya kumuowa kabisa. Kumbe kwao wakapata taarifa na kumuozesha kwa mtu mwingine, mdogo wake akaja kunipa story. Nilichukia sana, ila ikabidi niwe mpole tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kale kamsemo ukikutana na mrangi pamoja na Nyoka ua mrangi mwache Nyoka aende zake kana maana gani kwa warangi mliopo humu naomba tafasiri yake, mwalee
 
Back
Top Bottom