Warembo 16 wa Tanzania wenye mvuto wa hali ya juu.

matokeo yanatokana na mtazamo wa nani? kuna vifaa havipo kwenye list.
 
mbona hamjaniweka??

Tupia basi kapicha ili uwekwe humu.

Then tutaweka mashindano ya Miss jf live watu watupie picha zao halisi ili tumchague mshindi aondoke na kitita flani hivi.Amaizing!!
 
Kaaaah!!kumbe Vanessa Mdee nae ni mrembo..nlikua sjui naipenda sana jamii forum naendelea kujifunza vitu vipya kila kukicha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…