Warembo 16 wa Tanzania wenye mvuto wa hali ya juu.

Warembo 16 wa Tanzania wenye mvuto wa hali ya juu.

matokeo yanatokana na mtazamo wa nani? kuna vifaa havipo kwenye list.
 
hawa vipi wapo kwenye hiyo list maana wamesha saminishwa na kaka mkubwa
4cd5b8358c476c1e087bfdbf81b1dfd4.jpg
2ebd7366800106baaf4e687169813c85.jpg
Hapo juu na chini ni bilionea lemutuz nation na mabebez gani hao?
 
mbona hamjaniweka??

Tupia basi kapicha ili uwekwe humu.

Then tutaweka mashindano ya Miss jf live watu watupie picha zao halisi ili tumchague mshindi aondoke na kitita flani hivi.Amaizing!!
 
Kaaaah!!kumbe Vanessa Mdee nae ni mrembo..nlikua sjui naipenda sana jamii forum naendelea kujifunza vitu vipya kila kukicha.
 
Back
Top Bottom