menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 670
Hebu fikiria siku moja umemtoa mkeo out alafu huko mnakutana na mabinti warembo kupindukia ghafla unaanza kukodoa mijicho mkeo nae anakushtua kila saa but huelewi mwishoe anaamua kuondoka kwa hasira je utafanyaje?