Warembo Humanities UDOM mtanimalizia muwe na huruma na BOOM langu

Warembo Humanities UDOM mtanimalizia muwe na huruma na BOOM langu

Upo informatics ee!! Ngoja nimwambie msele na masoud wakaze module,
Kama yupo engineering, mshtulie Mtaho(electrical Eng), Victor (Embedded system, Classical Control system, Microprocessor and Microcontroller)
 
Kama yupo engineering, mshtulie Mtaho(electrical Eng), Victor (Embedded system, Classical Control system, Microprocessor and Microcontroller)

Uyu itakua kama sio multimedia itakua health
 
Mkuu umeshambuliwa sana ila mi naona uko poa kwanza ndio umri wako kupenda na chagua mmoja mzuri kabisa akupe kampani ufurahie chuo mapenzi hyatakufanya udisco yatakupa faraja na furaha utayapenda maisha ya chuo ila ukikomaa na kuwala kwa macho utajuta ukitoka hapo maisha hyana reverse chagua binti mzuri kuwa nae usiwe mpweke!!!!
 
kua na madem costant kama pai...ukimwi wa kutosha uko humanities....KUBWA ZAIDI UKO INFO AMBAKO MSULI WAKE AD SHETANI HAPENDI
 
Mkuu komaa na shule,hizo pesa za bodi badala ya kuhonga ni vyema ukafanyia mambo ya Msingi,siku ukitoka kwenye hayo majengo meupe utaelewa ninachomaanisha..!!
 
Back
Top Bottom