Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Chagua mwingine bro..Hicho chombo changuNa mwitaji huyo 10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chagua mwingine bro..Hicho chombo changuNa mwitaji huyo 10
Chagua mwingine bro..Hicho chombo changu
Wakuu wema labda kwa Tanzania ana trend sana lakini kumbukeni list ni ya East Afrika yoteNo 1: Wema Sepetu
No 2: Zarina Hassan
No 3: Al Huddah Njoroge
No 4: Vera Sidika
No 5:Mleta Mada Jaza Mwenyewe..list yako mi sijaikubali hata kidogo
Mkuu ni East Afrika yote sio Tanzania tu.Mmmmm wema hayupo...!!! bado cjaelewa hii post
Tarime mnamfaham Corazon Hassan mkuu?Duh hata mimi mwanaume wa Tarime najua kwamba Wema Faketu hajatendewa haki
Sio East Afrika mkuuNadhani Sepenga anatakiwa kuwa kama Godfather wao, maana ni balaa yule mtoto hakauki hata humu JF
MmhLoading error........
Madam wenu yupi uyo mkuuHii haikubariki hata kidogo,Nifah hebu njoo uone madam wetu wanavyomchukia huku.
Lupita
hata michael jackson aingii ndani,aiseeHuyu ni Vera zamani na sasa.....Kenyan wanamdiss sana huyu dada kwa kuukataa Uafrika.....
View attachment 336111
Okay basi iwe ni list ya wakaa uchi sio ya wanaoandikwa sana maana baada ya Oscar Lupita aliandikwa sanaLupita
huyu anajieshimu,ndiyo maana hayumo kati yao wakaa uchi