Warembo kumi wanaofatiliwa na kuandikwa zaidi na vyombo vya habari Afrika mashariki

No 1: Wema Sepetu
No 2: Zarina Hassan
No 3: Al Huddah Njoroge
No 4: Vera Sidika
No 5:Mleta Mada Jaza Mwenyewe..list yako mi sijaikubali hata kidogo
Wakuu wema labda kwa Tanzania ana trend sana lakini kumbukeni list ni ya East Afrika yote
Mmmmm wema hayupo...!!! bado cjaelewa hii post
Mkuu ni East Afrika yote sio Tanzania tu.
Duh hata mimi mwanaume wa Tarime najua kwamba Wema Faketu hajatendewa haki
Tarime mnamfaham Corazon Hassan mkuu?
Nadhani Sepenga anatakiwa kuwa kama Godfather wao, maana ni balaa yule mtoto hakauki hata humu JF
Sio East Afrika mkuu
Loading error........
Mmh
Hii haikubariki hata kidogo,Nifah hebu njoo uone madam wetu wanavyomchukia huku.
Madam wenu yupi uyo mkuu
 
Huyu ni Vera zamani na sasa.....Kenyan wanamdiss sana huyu dada kwa kuukataa Uafrika.....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…