Warembo wa Bukoba

Profesa ntare nkobe

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
6,955
Reaction score
8,120
Bukoba kuna warembo wazuri sana wenye misambwanda miguu ya bia na figa namba 8.

Wamegawanyika Watusi kwa hapa wanaitwa wanyarwanda pia wapo walio mix Wahaya na Watusi nakutoa watoto wakali.

Pia wapo Wanyakore ambao ni wazuri sana wengi wao ni weusi kwa mbali ni maji ya kunde.

Wahaya pia ni wazuri sana..Bukoba unakuta binti ni beki tatu lakini ni mzuri sana unakuta wengi wanao kuja huku upenda kufukuzia beki tatu kuepuka gharama.

Warembo wa hapa wengi wanapenda kuishi maisha ya kujitegemea hii inatokana wengi wameenda shule asa hawa ambao ni wahaya asilimia mia.

Wengi wanapenda kuolewa na wahaya wenzao hawapendi shida. Wana akili za maisha ni watafutaji wazuri wa hela ukifika Bukoba utakuta biashara kubwa wanamiliki wao.

Wanapenda kuzungumza kihaya hata hawe amesoma vipi au hawe mrembo kiasi gani hii inatokana na wahaya kukipenda kihaya sana.

Wengi wanapenda sana Kampala na shopping nyingi wanapenda kufanyia huko..Kama una swali uliza
 
Tupe picha tuhakikishe kama ni kweli
 
Katika maisha yangu yote ya kuishi miji mbalimbali...sijawahi ona mji wa watu washamba kama bukoba
We morogoro kuna nini?
Bora ya washamba kuliko vitu vifupi,vishirikina,visivyo na elimu vya morogoro. Kwanza ni wachafu na wanawake wengi huzaliwa kwao!!!!!


Usiridie tena kuvamia nyuzi za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…