Warembo wa Bukoba

Mimi ni mhaya pure, lakini siwezi kuoa binti wa kabila langu hata tubaki wawili duniani.
 
Licha ya uzuri wao nasikia pia wamebarikiwa roho nzuri ya kutoa walichonacho kwa wenye uhitaji Yaani kifupi sio wachoyo kabisa!
 
Hapo unapima uwajibikaji sio uzuri
🤣Tufanye umeshinda,Ila uzuri haumpangii mtu azingatie idara gani?

Mfano wote tunaweza Jenga nyumba ww ukasema uzuri wa nyumba mapambo,mm nikasema uzuri wa nyumba ni chumba,mwingine mauwa n.k Jambo ni lile lile ila tunapishana mtazamo
 
Huyo wa picha ya tatu amesimama kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…