Warembo wa Bukoba

Kwahiyo mkuu katika makabila yote nchini ukaona wanawake wa kihaya ndo wenye hizo sifa zote zaidi ya wanawake wa makabila mengine au?
Nimezungumzia hawa kwa uzoefu wangu na nilivyo ona siwezi kuzungumzia wengine bila research mkuu
 
Mji umesimama hakuna jipya miaka nenda rudi,nimeishi bukoba naijua kona zote,kuna beach moja inaitwa Bunena Beach inamilikiwa na Kanisa katoliki nzuri ajabu,wanawake wakijua wew mgeni wanakufundisha kuwamwaga maji bila tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…