Warembo wa Bukoba

Warembo wa Bukoba

Toto la Kinyaturu hilo Singida noma aise
FB_IMG_1559586242932.jpeg
 
nilienda kikazi nilitakiwa nikae wiki niliishia kukaa siku 3, kazi ilikuwa ngumu kiasi ila nilikamilisha, siku ya kwanza hotel niliyofikia karibia na kivuko kule kulia kwa barabara kuna club moja hivi wenyeji wangu saa mbili usiku walimtuma binti wa below 20 aje na hotpot la senene na ugali kidogo kaveshwa mavazi ya kitenge yamemkaa vyema, nilimwambia weka hapo wewe nenda nyumbani kapumzike uje asubuhi kutoa vyombo, alinijibu nimeambiwa nisirudi nyumbani mpaka wewe utakapoondoka.. nilichoka sana. ni mji wa kawaida wenyeji ni wakarimu sana
Vipi alikuachia namba mkuu?
 
Hata majuzi machangu waliokamatwa karibu wote wanatokea Bukoba...kweli mpo juu
 
Bukoba kuna warembo wazuri sana wenye misambwanda miguu ya bia na figa namba 8.

Wamegawanyika Watusi kwa hapa wanaitwa wanyarwanda pia wapo walio mix Wahaya na Watusi nakutoa watoto wakali.

Pia wapo Wanyakore ambao ni wazuri sana wengi wao ni weusi kwa mbali ni maji ya kunde.

Wahaya pia ni wazuri sana..Bukoba unakuta binti ni beki tatu lakini ni mzuri sana unakuta wengi wanao kuja huku upenda kufukuzia beki tatu kuepuka gharama.

Warembo wa hapa wengi wanapenda kuishi maisha ya kujitegemea hii inatokana wengi wameenda shule asa hawa ambao ni wahaya asilimia mia.

Wengi wanapenda kuolewa na wahaya wenzao hawapendi shida. Wana akili za maisha ni watafutaji wazuri wa hela ukifika Bukoba utakuta biashara kubwa wanamiliki wao.

Wanapenda kuzungumza kihaya hata hawe amesoma vipi au hawe mrembo kiasi gani hii inatokana na wahaya kukipenda kihaya sana.

Wengi wanapenda sana Kampala na shopping nyingi wanapenda kufanyia huko..Kama una swali uliza
Leo nimetua Bukoba Mwenye Connection za wapumzishaji anipe chap niosheeee.... Nimefikia Hapa Smart Hotel
😎
 
Leo nimetua Bukoba Mwenye Connection za wapumzishaji anipe chap niosheeee.... Nimefikia Hapa Smart Hotel
😎
Smart Hotel, you remind me of the old sweet days, 7 or 8 years back. Pepsi---Kashai Matopeni---Smart Hotel---Nyamkazi.
 
Acha uvivu...tongoza wewe
Sasa let's be fair unatongoza within 48 hrs unapewa jibu then unakula mbunye that's absurd ndio maana nitaka niende dukani nichangue bidhaa nayotaka niitumie after 48 hrs namaliza kilichonileta natambaliza zangu 😎
 
Back
Top Bottom