Kweli aseeHahaha baby mtu chake hata kipofu aweza eleza uzuri Wa mkewe!
Kwanza namshukuru muumba kwa siku njema ya Leo!
Naandika huu Uzi maalumu kwa warembo Wa jf wote ambao Mungu kawapamba kwa kila tunu njema! Sura,tabia murua Na maumbile ya kukata kwa kisu!
Sura za duara macho ya irine uwoya ya kusinzia mithili ya kula kungwi yake joanal
Umbile la nyigu kiuno namba namba ya ukwelee yake kapeace!
Figure matata za warembo kadhaa siwataji hahaha mbitiyaza!
Macho matamu kama yake mumu
Ngoja niishie hapa[emoji23] [emoji23]
Cc: Jeseverest....
Akisifia sana ataishia duuh...aisee..!