Warembo wa JF mmeumbika!

Warembo wa JF mmeumbika!

Kwanza namshukuru muumba kwa siku njema ya Leo!

Naandika huu Uzi maalumu kwa warembo Wa jf wote ambao Mungu kawapamba kwa kila tunu njema! Sura,tabia murua Na maumbile ya kukata kwa kisu!

Sura za duara macho ya irine uwoya ya kusinzia mithili ya kula kungwi yake joanal

Umbile la nyigu kiuno namba namba ya ukwelee yake kapeace!

Figure matata za warembo kadhaa siwataji hahaha mbitiyaza!

Macho matamu kama yake mumu

Ngoja niishie hapa[emoji23] [emoji23]

Mkuu ulishawaona live ama?[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cc: Jeseverest....
Akisifia sana ataishia duuh...aisee..!
02c23196ce2d354bfb66fb69a1f1d85a.jpg
 
Back
Top Bottom