Warembo wa jf tukutane hapa

Joined
Jan 28, 2018
Posts
9
Reaction score
7
Nina ofa kwa wadada wenzangu wa JF, nina mzigo wa nywele originally nywele za peruvian hair na brazilian hairs.
Mzigo uliobakia mpaka sasa grade 8a na 9a peruvian na brazilian.

bei ni chee kabsa sawa na bure..kwa piece moja inauzwa 35 elfu. Kwa ambao mnajua nywele hizi na bei zake hii ni sawa na bure..ujazo wa nywele hizi unaweza kushonea piece 2 tu au 3: zipo aina zote curly, straight na waves. karibuni nicheki wassup au piga kwa namba hii : kwa mliopo dar ntakuletea mzigo wako hadi mlangoni..na wa mikoani tutatama kwa njia salama.

nywele hii unaweza ukapasi, ukaset,ukatoni, unaweza badilisha rangi..!! waweza tumia mara nyingi uwezavyo. Originally .

jf wadada wachache yamejaaa mababa tu..muwachukulie mawifi basi. Njo inbox
 

Attachments

  • TB25yYVxElnpuFjSZFjXXXTaVXa_!!0-saturn_solar.jpg_180x180.jpeg
    5.2 KB · Views: 43
Dada wanakuja ,mwanamke urembo !!.

Wanakuja upige zako ela ,naww uwape kupendeza !!.

Ngoja nikamuulize anapendelea aina gan ,tufanye mawasiliano !!.

Sema kwa joto LA Dar ,, nawakumbusha kubadili izo nywele kila baada ya siku 5-7!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…