Warembo wa jf tukutane hapa

Warembo wa jf tukutane hapa

Huu ushamba unanisumbua. Brazilian hair au Peruvian hair inakuwaje zinatoka China au China kuna Brazilians/Peruvians wengi?
 
Biashara matangazo,weka na picha ili wayaone kabisaaaa
 
Kuna watu huwa nawaona wanashonea wanapendeza.

Mie nna dread ningekuungisha mrembo
 
Back
Top Bottom