Warembo wa JF, ulivutiwa na mchezaji gani kwenye kombe la dunia 2018?

Mitandaoni huko Kila mwanadada anampenda mbappe!

Angekuwa bongo mngekuwa msha mpwelepweta mtoto wa watu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Wanawake wa kibongo hatari sana.....wangesha mzeesha mtoto wa watu
 
hahaha ngoja niishie hapa kama Genta, maana mdomo wangu umebaki wazi kama Ushimen. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…