Mama naniliuuuHahahahah Mama Nani
Hehehehehe .....Kama Kweli hongeraMama naniliuuu
Naona na pm yako umeipiga kufuri mama hutaki mchezo mchezoMama naniliuuu
Elimu ya nini sasa mkuu!! Elimu itakusaidia nini ktk mahusiano ya kimapenzi. Kama anajua kutumia JF huyo ana elimu ya kutosha kukufurahisha katika maisha ya mahusiano.ELIMU yako kwanza, na UMRI wako Ndo tuendelee na mengine.
Nitake radhi danya.Hata wewe ni kadada
poa vp?Mambo,.!?
TeeeenahNitake radhi danya.
Hahahaha Mrembo...ww ni nani sasaNitake radhi danya.
Mtoa post kumbe hujui hata kutambua golden chance.Wanakuja mkuu
Hapana
poa vp?
Ha ha haaaa PoleeeNaona na pm yako umeipiga kufuri mama hutaki mchezo mchezo
Hehehehe kweli si mchezo mchezo....naamini utanifunguliaHa ha haaaa Poleee
Chakarika sasaKweli mkuu
Kasema hajui Kutambua kwamba huyu ni mwanamke au. Si anaangalia kwenye usajiliElimu ya nini sasa mkuu!! Elimu itakusaidia nini ktk mahusiano ya kimapenzi. Kama anajua kutumia JF huyo ana elimu ya kutosha kukufurahisha katika maisha ya mahusiano.
NdioUnataka kumnunulia begi au madaftari?
[emoji23][emoji23][emoji23]Atuambie pia anafanya kazi gani?
Dah.... Ngoja upigwe halafu kesho uanze kulialia πππJamani nisaidieni mimi nategemea kupata Kasichana humu JF...lakini kila nikaa..nashindwa kujua Hii ni ID ya mtoto wa kiume au wa kike....
Je nitumie njia gani kujua kama ni wakike au wakiume maana mimi naona wote ni kama wakiume sasa naumia sana kuona Jamaa anajichukulia Kadada humu kirahisi wakati mimi hata ID tuu siijui
Tuanze kwenye ID tuu..au hata hapa wajitaje tuu kama Ni KE....
Hihihi, Umenikumbusha mbali sana.Kama ukitaka kujua kama ni wa kike na wewe badili 1D yako jifanye wakike kama kuna wenye I.d za kike ambao ni wanaume watajileta kukutongoza ndo na wewe hapo utawagundua kiurahisi