Warembo wa JF

Warembo wa JF

Jamani nisaidieni mimi nategemea kupata Kasichana humu JF...lakini kila nikaa..nashindwa kujua Hii ni ID ya mtoto wa kiume au wa kike....

Je nitumie njia gani kujua kama ni wakike au wakiume maana mimi naona wote ni kama wakiume sasa naumia sana kuona Jamaa anajichukulia Kadada humu kirahisi wakati mimi hata ID tuu siijui

Tuanze kwenye ID tuu..au hata hapa wajitaje tuu kama Ni KE....
Dah.... Ngoja upigwe halafu kesho uanze kulialia 😀😀😀
 
Kama ukitaka kujua kama ni wa kike na wewe badili 1D yako jifanye wakike kama kuna wenye I.d za kike ambao ni wanaume watajileta kukutongoza ndo na wewe hapo utawagundua kiurahisi
Hihihi, Umenikumbusha mbali sana.
 
Back
Top Bottom