Warembo wa JF

We nae mpangilio wa aya majanga:
Nimeona kuna sehemu

umechangia binafsi

nimetokea kukuelewa,upo

vizuri.
Sentensi kama'mama alienda sokoni kununua ndizi unaiandika,
Mama
alienda sokoni
kununua
ndizi.
Ila hongera kwa mtongozo.
 
Sasa wewe mmetongozana PM Huku unatuletea ya nini?

Acha ushamba dogo, malizaneni hukohuko

Usiweena akili za kike jombaaa..

Moderator, Paw Active nyuzi Kama hizi muwe mnafuta zinajaza server tu
 
Mbona mimi sipati wa kuniambia wamependa michango yangu?
Maji ya bahari yananihusu .
Hannah binafsi nipoona komenti yako Moto wangu unaniambia kuwa wewe ndio chaguo sahihi la mtima wanguπŸ’πŸ’πŸ’πŸ’ž,lakini nikupatie wapi mimi nipate tulizo la Moyo wanguπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜β™₯️β™₯️β™₯️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…