Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Hujambo ledada???ππππndo nini kunitangaza
Best ulijifungia wapi? Nina kama miezi 6 sijakuona.Bestyyyyy
Nipo besty naona tu ID mpya nyingi basi inakuwa hali si hali.Best ulijifungia wapi? Nina kama miezi 6 sijakuona.
Kama vile nimekuelewa hapo "usijejikuta unaanza upya" bestππ.Nipo besty naona tu ID mpya nyingi basi inakuwa hali si hali.
Usije ukajikuta unaaanza upyaaaaaa
Bora uziogope tu best.Kama vile nimekuelewa hapo "usijejikuta unaanza upya" bestππ.
Hata mimi naogopa sana hizi ID mpya.
Kweli Best.Bora uziogope tu best.
Tubakini Sisi kwa Sisi, anaekuja na ID mpya usiamuamini kamwe. Hahaahahahahaha
Nipo best mbona.Kweli Best.
Ila ulipotelea wapi?
Hahahaha, kumbe tuko wengi eehKama vile nimekuelewa hapo "usijejikuta unaanza upya" best[emoji23][emoji23].
Hata mimi naogopa sana hizi ID mpya.