Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Wewe mrembo lala, nitakutumia vibwengo sasa hivi![emoji41][emoji41][emoji41]Hawaii kabisa. Pamoja na bango lote hili.
Weekend Leo nipo kwenye bata.Wewe mrembo lala, nitakutumia vibwengo sasa hivi![emoji41][emoji41][emoji41]
Tatizo ni dushe tu hupati pm ni hakuna anaebisha hodi huko?Weekend Leo nipo kwenye bata.
Chiz kweliTatizo ni dushe tu hupati pm ni hakuna anaebisha hodi huko?
Kuwa serious basiNasubiri kwa hamu😂😂
Hahahaha, mm siamini lknHawaii kabisa. Pamoja na bango lote hili.
Hahahaha, nitakua mm mjomba waoNasubiri kwa hamu[emoji23][emoji23]
Vipi umepata PM ngapi mpaka sasa? Nataka nijue kama vijana wangu walianza kaziNasubiri kwa hamu[emoji23][emoji23]
Hahahaha, vijana umewatuma hawajaleta ripoti sioVipi umepata PM ngapi mpaka sasa? Nataka nijue kama vijana wangu walianza kazi
Kweli kabisa. Nawaonea wivu wanaosema wanasumbuliwa PM😂😂😂😂
Vijana wako waoga. Hawajaja.Vipi umepata PM ngapi mpaka sasa? Nataka nijue kama vijana wangu walianza kazi
Hahahaha, we unazingua hata siaminiKweli kabisa. Nawaonea wivu wanaosema wanasumbuliwa PM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, kilichobaki sasa tuje wenyewe tuVijana wako waoga. Hawajaja.
Sasa kama wewe haujaja unadhani nani atakuja? Kila mtu anategemea mwenzake ataenda.
Ewaaaaah, njooni nyie wakubwa zao.
Hahahaha ,acha wao waanze mm wa mwisho ,nitakuja kusalimiaSasa kama wewe haujaja unadhani nani atakuja? Kila mtu anategemea mwenzake ataenda.
Hahahaha, mbn umefunga sasa mlango wenyeweEwaaaaah, njooni nyie wakubwa zao.
Nakuahidi ukija nitakuwa mkarimu kwako.
Wanaofunga PM ni wanaosumbuliwa. Sasa mimi sipati PM nafunga ya nini?