Jesse Lingard
Member
- May 5, 2020
- 93
- 385
Salaam,
Natumia hii account kwa mara ya tatu leo kwasababu maalum.
Mada yangu leo inawahusu warembo wa JF, jamani huu ukurasa hauna warembo wazuri? Nimebahatika kufahamiana na kukutana na watatu ndani ya miezi kama 18 iliyopita.
Kiukweli tuliishia tu kupiga story mbili tatu, hata urafiki wetu ukaishia. Maandishi yetu na anonymity plus qualities tunazopresent kwa story zetu ni tofauti kabisa na tunavyoonekana.
Ni vema tuwe real tu kwakweli. BTW, naongelea ukawaida wa mwanadada, siyo urembo.. Niliobahatika kukutana nao ni below par kwa ukawaida.
Anyone to prove me wrong?
Sidhani kama huu uzi unahitaji povu
Adios!!