Warembo wa JF...

Warembo wa JF...

Mbaya kwako ila mzuri kwa mwingine. Kumbuka sio kila mwanaume anapenda mwanamke kama Hamisa Mobeto kwa ajili ya show off za mtaani, wengine kama mimi tunapenda maneno mzuri kutoka katika kinywa cha mwana-mama baaas hata kama sio mrembo kabisa.

Kuna mwanaume anapenda maonyesho kwamba ana demu mkali ila wengine tunapenda utulivu wa nafsi basi na sio kujionesha facebook na Instagram.
Ahsante Soldier! Umetufariji wengine huku
 
Afu ukute na kenyewe kapo kama karunguyeye.

Huyu mnyama nimejua kupitia sredi ingine na nikasema leo akikatiza mtu na sredi ya kiboya namuita karunguyeye.

So there you are Mkuu K.Y.
Karucee😊.. Hiyo ni mada ya siku nyingine.. Leo inawahusu nyie. Ebu niulize swali dogo, mrembo wa jf unashindwaje kutibu maupele ya sehemu za wazi? Basi si ajitande na baibui? Am sorry lkn..
 
Imenibidi nichangie kwa kucheka tu!

Hahaha 😂 😂 🤣 🤣

Mwamba! Dah! Eti "below par" 😂😂😂
 
Ahsante Soldier! Umetufariji wengine huku
Kitu sipendi kwa mwanamke ni matusi, kelele na maneno ya kejeli baaas. Mimi sio mtu wa kujionesha maisha yangu Facebook wala instagram eti leo nina mwanamke huyu, kesho nimekula chips au juice ya passion basi niweke Facebook.

I have no time those nonsense.
 
Karucee😊.. Hiyo ni mada ya siku nyingine.. Leo inawahusu nyie. Ebu niulize swali dogo, mrembo wa jf unashindwaje kutibu maupele ya sehemu za wazi? Basi si ajitande na baibui? Am sorry lkn..
You are just a little boy who is bothered by pimples on a lady's face.

Halafu unadhani baibui ni kwa ajili ya kuficha some imperfections?

You are so dumb and naive. Hope jeshini will do you some good.
 
Salaam!!
Natumia hii account kwa mara ya tatu leo kwasababu maalum..

Mada yangu leo inawahusu warembo wa JF, jamani huu ukurasa hauna warembo wazuri?
Nimebahatika kufahamiana na kukutana na watatu ndani ya miezi kama 18 iliyopita..

Kiukweli tuliishia tu kupiga story mbili tatu, hata urafiki wetu ukaishia.. Maandishi yetu na anonymity plus qualities tunazopresent kwa story zetu ni tofauti kabisa na tunavyoonekana..

Ni vema tuwe real tu kwakweli.

BTW, naongelea ukawaida wa mwanadada, siyo urembo.. Niliobahatika kukutana nao ni below par kwa ukawaida.

Anyone to prove me wrong?

Sidhani kama huu uzi unahitaji povu

Adios!!
[emoji23][emoji23][emoji23] Adios El hermano
 
Ila mkuu unawakosea sana hao waliokuheshimu hadi mkaonana si vizuri kusema mtu na huenda na wewe mwenyewe wala hawakupendezwa na wewe basi tu. Kwani ukakusha unapungukiwa damu? Uliofanya huo ni umama😏😏
Upo sahihi kabisa kwa hoja zako..
1. Nimewakosea
2. Waliniheshimu
3. Pengine pia hawakupendezwa nami
4. Ningeweza kukausha
5. Hii ya Umama hapana, haupo sahihi😊

Nimekuja tu kuchangamsha jukwaa ndugu zanguni; japo ujumbe umefika..

Kama unaona qualities zako ni 50-50 baki tu kitaa mazee..🤔🤔.. Ngoja niwaharibie wengine mliopo kwenye pipeline
 
Mbaya kwako ila mzuri kwa mwingine. Kumbuka sio kila mwanaume anapenda mwanamke kama Hamisa Mobeto kwa ajili ya show off za mtaani, wengine kama mimi tunapenda maneno mzuri kutoka katika kinywa cha mwana-mama baaas hata kama sio mrembo kabisa.

Kuna mwanaume anapenda maonyesho kwamba ana demu mkali ila wengine tunapenda utulivu wa nafsi basi na sio kujionesha facebook na Instagram.
Sasa sindo hivyo Mkuu, uzuri upo kwenye jicho la muonaji! Na ndivyo hivyo, kwake ni zaidi ya alivyotegemea. Yaani kwa viwango vyake ni zaidi yaa!!😂😂😂😂
 
Mmmh bado mtoto wewe ukikua utaheshimu watu, siyo vizuri
I am more than a mature man.. Nawaheshimu sana wanawake.. Sana kupita maelezo.. Lkn hainizuii kuzungumza!!

Kwanza ndio maana nimekuja na userID tofauti ili kuwasitiri, cz ndani ya miezi 18 iliyopita ni wangapi humu mmeonana na wa humu?
 
Back
Top Bottom