Warembo wa JF...

Jesse Lingard

Member
Joined
May 5, 2020
Posts
93
Reaction score
385
Salaam,

Natumia hii account kwa mara ya tatu leo kwasababu maalum.

Mada yangu leo inawahusu warembo wa JF, jamani huu ukurasa hauna warembo wazuri? Nimebahatika kufahamiana na kukutana na watatu ndani ya miezi kama 18 iliyopita.

Kiukweli tuliishia tu kupiga story mbili tatu, hata urafiki wetu ukaishia. Maandishi yetu na anonymity plus qualities tunazopresent kwa story zetu ni tofauti kabisa na tunavyoonekana.

Ni vema tuwe real tu kwakweli. BTW, naongelea ukawaida wa mwanadada, siyo urembo.. Niliobahatika kukutana nao ni below par kwa ukawaida.

Anyone to prove me wrong?

Sidhani kama huu uzi unahitaji povu

Adios!!
 
Its very true, but a freand meet one here,she infact wrote to that person asking for a job favour in the company the guy owns, but the guy was very very smart, he tracked her calls using never mind what technology, and he discovered the lay was a tiss operative who wanted to know the company so that they will go and demand money using fake tax claims, it was during jiwes time you all know that was the game then,when this my freand told me so i knew here there are tiss agents pretending to lok for love, or work or such, take care
 
naongelea ukawaida wa mwanadada, siyo urembo.. Niliobahatika kukutana nao ni below par kwa ukawaida.

Anyone to prove me wrong?
Mbaya kwako ila mzuri kwa mwingine. Kumbuka sio kila mwanaume anapenda mwanamke kama Hamisa Mobeto kwa ajili ya show off za mtaani, wengine kama mimi tunapenda maneno mzuri kutoka katika kinywa cha mwana-mama baaas hata kama sio mrembo kabisa.

Kuna mwanaume anapenda maonyesho kwamba ana demu mkali ila wengine tunapenda utulivu wa nafsi basi na sio kujionesha facebook na Instagram.
 
Asante Baba
 
Mkuu niwewe tu ndo unapata vibungo!! Ila mm kwa ninaowafaham humu ndan wengi ni wazuri na wako vizuri upstairs!!!

Bad thing ni kwamba hawana muda wa kucomment Kila Uzi Wala kuchangia mada za kipuuzi Kama Hawa wengine!
 
Hilo ni tatizo,,

Kauli mbiu ya JF inasema " where we dare to speak openly" , yaani " mahala ambapo tunathubutu kuzungumza kwa uwazi"

Sasa utawezaje kuzungumza kwa uwazi ikiwa unakutana kutana na watu wote hao ?

Baki njia kuu,, wanawake hawatafutwi mtandaoni mkuu.
 
Sijapenda ulivyokuja kunisema humu 😬😬😬
Nawaombeni msinielewe vibaya.
Sitaki kuwaharibia watu..
Ninachokimaanisha
1. Zile mbwembwe na vionjo ambavyo mtu anavipresent halafu unakuja kuonana na mtu maneno mengi kama nini.. Completely below par (kwa lugha ya staha)

2. Sihitaji na wala sijaongelea level za kisanii au kistar kama hoja ya ndugu hapo chini sijui Hamisa.. Naongelea ukawaida wa mwanadada wa Kiafrica

Ni maoni yangu lkn..

Bahati nzuri kuna ndugu amesema mpo wazuri sana humu.. Ameshani prove wrong!!
 
Ukweli ni kwamba nimetamani nipate mmoja wa humu.. Ukweli kabisa.. Sijabahatika.. Wale nimekutana nao hapana aisee!!

Huyo mmoja amenipigisha story zote mzee kama simsikii.. Story za kimasihara na nyinginezo zote nilizikazia.. Kama three month ago!

Nikibahatika mmoja nitatulia naye huyo😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…