Warembo wa JF...

Warembo wa JF...

Afu ukute na kenyewe kapo kama karunguyeye.

Huyu mnyama nimejua kupitia sredi ingine na nikasema leo akikatiza mtu na sredi ya kiboya namuita karunguyeye.

So there you are Mkuu K.Y.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi mchokozi
 
Namuombea msamaha mleta uzi. Alikamuliwa vya kutosha na huyo dada, yaani katuma nauli ya Uber, kanunue Hennessey, mikuku n.k halafu dada kufika kumbe ni wa kawaida hata bibi Kiroboto mzuri kkkkkkkkk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe mheshimiwa unakautoto, kauvulana AMA la una psychology problem.

1. Uzuri wa mtu mwanamke/mwanaume ni macho na akili za mhitaji. Hata siku moja umpendaye wewe sio lazima tumpende wengine, mzuri kwangu sio lazima awe mzuri machoni pako.

2. Mambo ya kukutana kwenu nje ya jukwaa hili ni privacy zenu, zao. Ni kukosa ukomavu wa akili kuleta mambo yenu balazani/ jukwaani. Maana yake huna staha, heshima wala busara. Hii inashiria hata mambo yako ya ndani may be ukayapeleka mitandaooni Siku moja.

3. Uliokutana nao memba wa jukwaa hili ndio haohao unakutana nao mitaani, masokoni, mahotelini nk. Ni watanzania walewale either wapo JF, Facebook, Instagram etc either wapo mitaani na hawajajiunga na social media yoyote.

I. Hizi Tabia za kitoto au kivulana bora kuziacha

II. Heshimu waliokuheshimu wakaacha majukumu yao wakaja kukutana/kusalimiana/kubadilishana mawazo nawewe.

III. Mtu yeyote unapokutana Naye sio lazima uanzishe mahusiano, sio lazima akupendeze machoni pako nasio lazima akukubali...... akiringa, akikataa, akisita akinata ...... achana Naye, mpe uhuru wake, usimsimange kwa lolote.... rangi, uzuri, ubaya, maringo, ujuwaji nk. Hataki mwache yawezekana anawake ndio demokrasia yenyewe.

IV. Kupanga nikuchagua. Usijioneshe kujua ya ubora na ubaya wa wengine.... hata wewe unakasoro zako. No one is perfect

Mambo ya faraghani yabakie hukohuko.

Tuheshimu utu wa mtu.... mwaume/mwanamke na faragha zake.

Tusifedheheshane kwa vitu vidogovidogo visivo na msingi wowote kimantiki na kimaadili.

Ukijiheshimu utaheshimika, ukidharau wengine nao watakudharau.
Ameeeeeen, na ubarikiwe sana, maneno ya busara haya.
 
Karucee[emoji4].. Hiyo ni mada ya siku nyingine.. Leo inawahusu nyie. Ebu niulize swali dogo, mrembo wa jf unashindwaje kutibu maupele ya sehemu za wazi? Basi si ajitande na baibui? Am sorry lkn..

Ulitakiwa umsaidie huwezi jua kahangaika na dawa hazimsaidii
Ukiona mtu usijaji moja kwa moja haraka jua tatizo kama waweza saidia saidia huwezi basi unakubali mtu alivyo
Kaka unadhan humu wanawake wote wapo kama malaika soft kwa ngozi,pesa ?
 
Na wasiwasi utakuwa wewe. Usijipoteze, ngoja mleta uzi amalizie K Vant yake aje akuumbue.
Hanijui hata ukucha wala kidole, amalize hiyo K vant yake, aje awasasambue alio meet nao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Salaam!!
Natumia hii account kwa mara ya tatu leo kwasababu maalum..

Mada yangu leo inawahusu warembo wa JF, jamani huu ukurasa hauna warembo wazuri?
Nimebahatika kufahamiana na kukutana na watatu ndani ya miezi kama 18 iliyopita..

Kiukweli tuliishia tu kupiga story mbili tatu, hata urafiki wetu ukaishia.. Maandishi yetu na anonymity plus qualities tunazopresent kwa story zetu ni tofauti kabisa na tunavyoonekana..

Ni vema tuwe real tu kwakweli.

BTW, naongelea ukawaida wa mwanadada, siyo urembo.. Niliobahatika kukutana nao ni below par kwa ukawaida.

Anyone to prove me wrong?

Sidhani kama huu uzi unahitaji povu

Adios!!
Unatumia sanitary pads zipi ?
 
Ulitakiwa umsaidie huwezi jua kahangaika na dawa hazimsaidii
Ukiona mtu usijaji moja kwa moja haraka jua tatizo kama waweza saidia saidia huwezi basi unakubali mtu alivyo
Kaka unadhan humu wanawake wote wapo kama malaika soft kwa ngozi,pesa ?
hajui balaa la chunusi huyu. Kuna watu wanahaha nazo
 
Balaàaaaaa. [emoji1787][emoji1787]

Nikiwa mdogo tulikuwa tukimuona karunguyeyw tunamchukua tunamzunguka na tunaanza kumpigia ngoma
Basi anaanza kudunda dunda anacheza
Tulikuwa tunafurahi sana
 
Nikiwa mdogo tulikuwa tukimuona karunguyeyw tunamchukua tunamzunguka na tunaanza kumpigia ngoma
Basi anaanza kudunda dunda anacheza
Tulikuwa tunafurahi sana
Serious? Utoto raha sanaaa.

Hivi ndie anaitwa simbilisi?
 
Back
Top Bottom