Warembo wa JF...

Warembo wa JF...

Unaweza ambiwa jina na wewe hamuendani, toa hiyo Gent weka mchimba chumvi.

Ila inshu za kufunguliana thredi siyo kabisa, Yaani unapanga kabisa kesho nafungua thredi special kwa... dah!

Halafu huyu bibie akikataa tusionane, mtoa mada utakuwa umechangia 99%
🤣🤣 Yupi?
 
Tuliokuja JF kitambo wengi tumekutana regardless ya fake id. Ukweli upo pande zote wapo ambao ni real, fake, pretenders, genuine, matapeli, wadukuzi na tabia nyingine zinazofanya na mtu anae amini hafamiki. So be careful.
 
Back
Top Bottom