Warembo wa kiarabu wa Tabora

Tabora bado kumelala sana na kwa sababu wanaendekeza sana dini. Kingine, TB ndio mkoa unao ongoza kuwa na vichaa wengi hapa Bongo, maana kule kosa kidogo tu lazima tu utapigwa juju la ukichaa. NI washirikina mno.
 
Wewe huijui Tabora!!!!
Naifahamu sana kipindi treni linapita huko miaka ya 2013 na 2014. Nilikuwa nikifika hapo napita kumsalimia rafiki yangu CHEYO A baadae tunaingia zetu mitaani na tunaondoka kwenda Dar Zanzibar.
 
Km hiyo biashara yako nenda Tabora kafanye biashara sambamba na kutafuta waarabu lkn km biashara ya mtu mwingine acha hayo mambo mwenyewe atakufi*ra coz hapo hamna biashara,hapo unaenda kula mtaji tu,boy
Na watu hawalagi mtaji wanakulaga faida
 
Sikushauri ndungu,arusha na moshi ndumba ziko kidogo ila huko unyamwezini ni balaa. Angalia usije kurudi na wake 3 au na wewe ndiyo ukafanywa remote ya familia. Vumilia kama ni waarabu nenda tanga pia wapo
 
Yaani laki 3 ndo bajeti ya wiki nzima? Mzee jipange usije ukawatia aibu wachaga wenzio
 
Tabora bado kumelala sana na kwa sababu wanaendekeza sana dini. Kingine, TB ndio mkoa unao ongoza kuwa na vichaa wengi hapa Bongo, maana kule kosa kidogo tu lazima tu utapigwa juju la ukichaa. NI washirikina mno.
Acha majungu ulifanya lini sensa ya Vichaa na ukapata huo ushuhuda wako?
 
Sikushauri ndungu,arusha na moshi ndumba ziko kidogo ila huko unyamwezini ni balaa. Angalia usije kurudi na wake 3 au na wewe ndiyo ukafanywa remote ya familia. Vumilia kama ni waarabu nenda tanga pia wapo
Mpe na Tahadhari kuwa Mboka wakikukamata na mke wa mtu unapata KI....ro pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…