Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unamjua huyu mzeee, jengo lake sasa hv limegeuzwa chuo bhana,Msalimie mzee sonda
kweli we ni mwenyeji, umetaja hii mitaa nimekumbuka enzi za 90sTabora nenda kwa akili sana, kule ni tofauti na Arusha au Kilimanjaro au Dar kwamba unatongoza demu ukimaliza haja zako unasepa, kule hamna hiyo utajikuta umeoa hivi hivi na utarudi nae Kilimanjaro bila kupenda! Ila kama bado una moyo na watoto wa kiarabu wa kule basi ukifika piga misele maeneo ya Kanyenye, Rufita na Bachu kuna waarabu wengi sana wenye maisha ya kiswahili kabisaa tena maisha magumu kama wabongo, hapo utapata mkee sio demu,
Lazma utaoa kijana kule ni mwendo wa mafundi wa Elimu isiyoonekana
Nadhani umenielewa[emoji23][emoji23][emoji23]
niliwahi fika shomoni ni padogo sana, pamebanana mno, oxygen hapa nakubaliana na wewe, asikose kwenda pale triple P akale abujaSasa hv mkuu hzo Frankman, club zero na 101 zishakuwa za zamani, kuna sehemu mpya kama Oxygen, Shimoni, Whatsapp club ambapo watoto wa uhazili wote wanakimbilia huko sasa hivi, tatizo wanapenda kuroga
hawa si ndio nasikia chupi mkononi, mguu upande muda wotebora ungeenda Singida au kondoa
Triple P kumefungwa mkuu, cjajua kwanini hata! Nilikuwa huko December likizo nkakuta wamepafunganiliwahi fika shomoni ni padogo sana, pamebanana mno, oxygen hapa nakubaliana na wewe, asikose kwenda pale triple P akale abuja
Nazan utakua ushakula banKm hiyo biashara yako nenda Tabora kafanye biashara sambamba na kutafuta waarabu lkn km biashara ya mtu mwingine acha hayo mambo mwenyewe atakufi*ra coz hapo hamna biashara,hapo unaenda kula mtaji tu,boy
Na watu hawalagi mtaji wanakulaga faida
Na watu wanajipinda kabisa kutoa maelekezo yakinifu na kuponda pia.Yaani aliyewaroga hawa vijana amewashika pabaya
Duh! kama nakuona unavyowaza kuwa jamaa kaenda central ya jf jamani pana haja gani ya kutumia maneno makali hivi japo macho yameumbwa na haya(soni ) hata vidole navyo viwe na ganzi au ukakasi wa kuandika lugha kama ya jamaa ulie mnukuu.Nazan utakua ushakula ban
Hao ni machotara wa kiarabu,sio waarabu,muarabu,mama mnyamwezi au baba au bibi au babu wote wanyamwezi.Asante sana kwa mchango wenu wa mawazo mazuri .Nitakaa two weeks before returning to Kilimanjaro or Arusha .kweli michango yenu imenifanya nijisikie kama vile nimeshapata Mwarabu wa Tabora .For real my budget is around 250000 just for spend with Arab girl .Huko Arusha na Kilimanjaro hamnaga Waarabu kabisa na kama wapo huwezi kuwaona kabisa mitaani wako wachache sana sana na hawatoki kabisa .Sijui hata shule wanaenda saa ngapi .Je Waarabu wa Tabora wanakunywa pombe ,
Itakua kala banDuh! kama nakuona unavyowaza kuwa jamaa kaenda central ya jf jamani pana haja gani ya kutumia maneno makali hivi japo macho yameumbwa na haya(soni ) hata vidole navyo viwe na ganzi au ukakasi wa kuandika lugha kama ya jamaa ulie mnukuu.
Kati ya utamu na hatari, ipi ina asilimia nyingi??? HahahahaaaNi tamuu ila hatari