Warembo wa kiarabu wa Tabora

Warembo wa kiarabu wa Tabora

Hatimaye nimeshawishika fikra zangu kuzituma pia tabora.
 
Tabora nenda kwa akili sana, kule ni tofauti na Arusha au Kilimanjaro au Dar kwamba unatongoza demu ukimaliza haja zako unasepa, kule hamna hiyo utajikuta umeoa hivi hivi na utarudi nae Kilimanjaro bila kupenda! Ila kama bado una moyo na watoto wa kiarabu wa kule basi ukifika piga misele maeneo ya Kanyenye, Rufita na Bachu kuna waarabu wengi sana wenye maisha ya kiswahili kabisaa tena maisha magumu kama wabongo, hapo utapata mkee sio demu,

Lazma utaoa kijana kule ni mwendo wa mafundi wa Elimu isiyoonekana

Nadhani umenielewa[emoji23][emoji23][emoji23]
kweli we ni mwenyeji, umetaja hii mitaa nimekumbuka enzi za 90s
 
Sasa hv mkuu hzo Frankman, club zero na 101 zishakuwa za zamani, kuna sehemu mpya kama Oxygen, Shimoni, Whatsapp club ambapo watoto wa uhazili wote wanakimbilia huko sasa hivi, tatizo wanapenda kuroga
niliwahi fika shomoni ni padogo sana, pamebanana mno, oxygen hapa nakubaliana na wewe, asikose kwenda pale triple P akale abuja
 
Ni nnae mmoja toka mwaka 2004 huko huko Kwa ROSTAM hakika nafaidi uongo Zambia kaka mkubw we njoo tu tuwe wote ni kwetu tanga lakin aaa! Alahaamdu lilai,
 
Unaonekana utahamia huko ondoka umeaga Kilimanjaro. .hapana chezea mboka manyema
 
Nashawishika kwenda nami tabora nikaonje papuchi za huko...cjawahi kula papuchi ya mchawi
 
Km hiyo biashara yako nenda Tabora kafanye biashara sambamba na kutafuta waarabu lkn km biashara ya mtu mwingine acha hayo mambo mwenyewe atakufi*ra coz hapo hamna biashara,hapo unaenda kula mtaji tu,boy
Na watu hawalagi mtaji wanakulaga faida
Nazan utakua ushakula ban
 
Asante sana kwa mchango wenu wa mawazo mazuri .Nitakaa two weeks before returning to Kilimanjaro or Arusha .kweli michango yenu imenifanya nijisikie kama vile nimeshapata Mwarabu wa Tabora .For real my budget is around 250000 just for spend with Arab girl .Huko Arusha na Kilimanjaro hamnaga Waarabu kabisa na kama wapo huwezi kuwaona kabisa mitaani wako wachache sana sana na hawatoki kabisa .Sijui hata shule wanaenda saa ngapi .Je Waarabu wa Tabora wanakunywa pombe ,
Hao ni machotara wa kiarabu,sio waarabu,muarabu,mama mnyamwezi au baba au bibi au babu wote wanyamwezi.
 
Kule ndiko wanakosimamisha miti iliyokatwa kaka..... Iruwa mbe hautarudi nyumban salama
 
Back
Top Bottom