Warembo wa kiarabu wa Tabora

Tabora bado kumelala sana na kwa sababu wanaendekeza sana dini. Kingine, TB ndio mkoa unao ongoza kuwa na vichaa wengi hapa Bongo, maana kule kosa kidogo tu lazima tu utapigwa juju la ukichaa. NI washirikina mno.
Vichaa Moshi aisee.
 
Hizi mbegu nazihitaji kwakulipiza kisasi tu nikiutana nazo natatua marinda ***** zao maana kaka zao waliniharibia Dada yangu walimzalisha wakamshiti.
 
Swadakta chezea mwarabu mixer nyamwezi ww.
 
Namjua sana nakumbuka nikiwa boys tulikuwa tunaenda pale kujivinjari na kupoteza time. Kumbe kafanya chuo hongera zake.
Zamani sana tulikuwa tunatoroka tunaenda kuangalia Supersport pale au kwa Mrema,kipindi Boys hakuna hata TV,teh teh
 
Hahah...babu ukitaka kufaidi watoto wa huko nenda kwa babu kwanza akuzike mziimaaaaa.....kisha nenda na zigo lako la condom ukale madodo meupe kzembe mnoo.(bila ya hivyo utarud na mzigo mzito kichwan)
Kivipi mkuu?
 
Kuna ukimwi
 
Wabongo kwa kupenda papuchi hawajambo mbona moshi zipo kule nyuma ya nakumat kuna magorofa ya wahindi kawavizie au kwa panjuani
 
nakupm siruhusiwi
 
ELIMU ISIYOONEKA
 
Tabora mpaka sehemu za vijiji vyake waarabu waliochanganyikana na wenyeji (Machotara) wengi ijapokuwa kwa Tabora mjini waarabu wa Yemen (Washihiri) ndo wengi , majority ya waaarabu wa Tabora na Shinyanga ni kutoka Oman na hao pia walifikia sana vijijini na huko walikaa kwa makabila yao waliotokea mfano Waarabu wa Nzega, Bukene,Mwangoe,Nata ,Choma wengi ni ukoo wa Alhabsy (refers kipa wa Wigan kama sikosei Alhabsy)

Kwahiyo kuanzia kaliua,Sikonge ,Nzega, Igunga, Tinde (Kahama) mpaka maganzo (Shy)wamejazana sana

Kurudi kwenye mada yako ukiwataka wapo tu , wapo wa pesa ,wapo wa ndoa , japokuwa ka ubaguzi pia kapo hata kama kachoka atajifanya expensive kwahiyo jipange mkuu pia maana hata Pure Arabs na half caste nao wanabaguana labda pesa iwepo hapo ndo ka heshima kapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…