Warembo wa kiarabu wa Tabora

Nitakwenda nikajaribu bahati yangu ili nipate ngozi ya MTUME.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikushauri ndungu,arusha na moshi ndumba ziko kidogo ila huko unyamwezini ni balaa. Angalia usije kurudi na wake 3 au na wewe ndiyo ukafanywa remote ya familia. Vumilia kama ni waarabu nenda tanga pia wapo
Waarabu wa bei rahisi Tanga wanapatikana pande zipi?
 
Kwa walio mwanza au wenyeji wa mwanzs wanisadie sehemu ambapo ntapata kazi yoyote ile ambayo haina uhitaji wa vigezo vya elimu
 
Mtafute mmoja anaitwa shish beibi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtafute mmoja anaitwa shish beibi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwamba ulifika tabora,ulipata toto la kiarabu huko kanyenye!?...maana nauli na masurufu ninayo
 
Nashukuru huyu muumba nimefanikiwa kuoa mwarabu wa Tabora .Tatizo linakuja kwenye dini ,mimi Ni RC yeye ni muislam lakini halinipi shida kabisa bora upendo ndani ya nyumba .Abaki na dini yake na mimi nibaki na dini yangu ,Hayo yote kuhusu dini ni IMANI TU ,DINI ZOTE ZILILETWA NA WAFANYABIASHARA NA WAPELELEZI TU ,NA NYINGINE ZILILETWA NA WAMISHIONARI ,MIMI SIANGALII IMANI YA MTU NAANGALIA UPENDO WA MTU TUU .
 
Umevuta Jiko kabiiisa Mkuu
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Mkuu uko deep, Maeneo ya bukene, nzega, choma, igunga, tinde, shinyanga, Didia, maganzo shy, Mhunze na Ukenyenge wapo waarabu wa kutosha... Sisi tumekua nao mtaani wala hatujawah kuwa na Ashk nao tunawaona wa kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…