Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakwenda nikajaribu bahati yangu ili nipate ngozi ya MTUME.Tabora mpaka sehemu za vijiji vyake waarabu waliochanganyikana na wenyeji (Machotara) wengi ijapokuwa kwa Tabora mjini waarabu wa Yemen (Washihiri) ndo wengi , majority ya waaarabu wa Tabora na Shinyanga ni kutoka Oman na hao pia walifikia sana vijijini na huko walikaa kwa makabila yao waliotokea mfano Waarabu wa Nzega, Bukene,Mwangoe,Nata ,Choma wengi ni ukoo wa Alhabsy (refers kipa wa Wigan kama sikosei Alhabsy)
Kwahiyo kuanzia kaliua,Sikonge ,Nzega, Igunga, Tinde (Kahama) mpaka maganzo (Shy)wamejazana sana
Kurudi kwenye mada yako ukiwataka wapo tu , wapo wa pesa ,wapo wa ndoa , japokuwa ka ubaguzi pia kapo hata kama kachoka atajifanya expensive kwahiyo jipange mkuu pia maana hata Pure Arabs na half caste nao wanabaguana labda pesa iwepo hapo ndo ka heshima kapo
Waarabu wa bei rahisi Tanga wanapatikana pande zipi?Sikushauri ndungu,arusha na moshi ndumba ziko kidogo ila huko unyamwezini ni balaa. Angalia usije kurudi na wake 3 au na wewe ndiyo ukafanywa remote ya familia. Vumilia kama ni waarabu nenda tanga pia wapo
Waarabu wa bei rahisi Tanga wanapatikana pande zipi?
Mtafute mmoja anaitwa shish beibiNina safari ya kwenda Tabora mwezi wa 3 kwa ajili ya biashara. Natokea mkoa wa Kilimanjaro, si unajua Kilimanjaro hamna mademu wa kiarabu au wabushiri. Nikiwa Tabora nina mpango wa kutafuta kimwana wa kiarabu, mwenye connection please let's me know please.
Na sijawahi kufika Tabora kukoje. Je ni Kama Arusha au Kilimanjaro or Morogoro or Dodoma? Natumaini kupata msaada from you guys. Yaani kinachonimaliza kwa hawa Waarabu ni zile nywele zao za miguuni na nywele ndefu za kichwani halafu na ule weupe ambao haujapata Jua kali kwa ajili ya kufunikwa na zile nguo zao nyeusi akifungua tu hilo paja jeupee.
Kama Waarabu wa Tabora wanakunywa alcohol niongezee budget yangu ya 250,000 to 300,000 hiyo ni kwa ajili ya kunywa na kula tu for two weeks. Ndio maana nilikuwa naulizia If Arab chicks drink some wine or hard liquor.

Get the hell out of my addHard liqor shud be strong liqor.
Kilimanjaro hatuna watu kama wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Awe makini asigeuzwe NDONDOCHAMjomba wapo ila uwe makini
Umevuta Jiko kabiiisa MkuuNashukuru huyu muumba nimefanikiwa kuoa mwarabu wa Tabora .Tatizo linakuja kwenye dini ,mimi Ni RC yeye ni muislam lakini halinipi shida kabisa bora upendo ndani ya nyumba .Abaki na dini yake na mimi nibaki na dini yangu ,Hayo yote kuhusu dini ni IMANI TU ,DINI ZOTE ZILILETWA NA WAFANYABIASHARA NA WAPELELEZI TU ,NA NYINGINE ZILILETWA NA WAMISHIONARI ,MIMI SIANGALII IMANI YA MTU NAANGALIA UPENDO WA MTU TUU .
Ndio mkuu .ukipenda kitu lazima ukifuate mbali,Umevuta Jiko kabiiisa Mkuu
😀 😀 😀Tabora nenda kwa akili sana, kule ni tofauti na Arusha au Kilimanjaro au Dar kwamba unatongoza demu ukimaliza haja zako unasepa, kule hamna hiyo utajikuta umeoa hivi hivi na utarudi nae Kilimanjaro bila kupenda! Ila kama bado una moyo na watoto wa kiarabu wa kule basi ukifika piga misele maeneo ya Kanyenye, Rufita na Bachu kuna waarabu wengi sana wenye maisha ya kiswahili kabisaa tena maisha magumu kama wabongo, hapo utapata mkee sio demu,
Lazma utaoa kijana kule ni mwendo wa mafundi wa Elimu isiyoonekana
Nadhani umenielewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Tabora mpaka sehemu za vijiji vyake waarabu waliochanganyikana na wenyeji (Machotara) wengi ijapokuwa kwa Tabora mjini waarabu wa Yemen (Washihiri) ndo wengi , majority ya waaarabu wa Tabora na Shinyanga ni kutoka Oman na hao pia walifikia sana vijijini na huko walikaa kwa makabila yao waliotokea mfano Waarabu wa Nzega, Bukene,Mwangoe,Nata ,Choma wengi ni ukoo wa Alhabsy (refers kipa wa Wigan kama sikosei Alhabsy)
Kwahiyo kuanzia kaliua,Sikonge ,Nzega, Igunga, Tinde (Kahama) mpaka maganzo (Shy)wamejazana sana
Kurudi kwenye mada yako ukiwataka wapo tu , wapo wa pesa ,wapo wa ndoa , japokuwa ka ubaguzi pia kapo hata kama kachoka atajifanya expensive kwahiyo jipange mkuu pia maana hata Pure Arabs na half caste nao wanabaguana labda pesa iwepo hapo ndo ka heshima kapo
Hongera aseeNdio mkuu .ukipenda kitu lazima ukifuate mbali,
Dah!Usisahau condoms