Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Wewe unataka wanaume wangapi?Nitumie kwanza hela ya wine ninywe nipunguze hili baridi kisha nitakujibu
Nilifikiri maneno Mrembo na Mbeya hayawezi kukaa kwenye sentensi moja!Nawapa saloote warembo wa mbeya .
Kama upo hapa naomba like
😂😂😂😂mmoja mwaminifu!Wewe unataka wanaume wangapi?
Here I am.😂😂😂😂mmoja mwaminifu!
[emoji120][emoji120][emoji120] Ngoja nitulie sasaHere I am.
Duuh! Kumbe mdogo wangu na wewe ni wale kina Tununu? Hahahaaaa.woyooo, bila shaka umepata mtoto mkali wa Mbeya ,safii karibu sana shemeji
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ndyo Dada, wale akina ndaga fijoo, wewe je?. Miss u lknDuuh! Kumbe mdogo wangu na wewe ni wale kina Tununu? Hahahaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe hili jamaa jinga ee.Tobaa, hao hatunao Mbeya aisee[emoji3] [emoji3]
haaaa, hao watu sijui alikutana nao wapi yeye[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe hili jamaa jinga ee.
Mbeya hakuna watu kama hawa bwana
Ugonile.....twambombo? Bakafu bhanaa?[emoji3] [emoji3] [emoji3] ndyo Dada, wale akina ndaga fijoo, wewe je?. Miss u lkn
[emoji3] [emoji3] ,umejitahidi au ni wa huko pia mkuu?Ugonile.....twambombo? Bakafu bhanaa?
Hahahaaaa nimejitahidi tu mkuu[emoji3] [emoji3] ,umejitahidi au ni wa huko pia mkuu?