Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kina Mwakingono na Mwakasex na AtugongiNawapa saloote warembo wa mbeya .
Kama upo hapa naomba like
Umewajulia wapi hao?[emoji848]Kina Mwakingono na Mwakasex na Atugongi
Tobaa, hao hatunao Mbeya aisee[emoji3] [emoji3]Kina Mwakingono na Mwakasex na Atugongi
Wewe nina hasira na wewe mpaka nalia[emoji22]Umewajulia wapi hao?[emoji848]
Aisee! We Ni Wa Wap Mkuu?Kina Mwakingono na Mwakasex na Atugongi
Wapo mbona mkuu[emoji23]Tobaa, hao hatunao Mbeya aisee[emoji3] [emoji3]
Aah hapana mkuu, sisi tuna Akina Mwakamobutu, nk ila hao wako mmmh[emoji3]Wapo mbona mkuu[emoji23]
Hasira zikikuisha utaniambia tukutane kijiweni, ila kwa sasa niko zangu Mbeya napigwa na kibaridi cha hukuWewe nina hasira na wewe mpaka nalia[emoji22]
Ila tutayamaliza PM
Naskia ulikua unanitafuta sana kwenye uzi wetu wa walinzi ?
Swali langu mbona hata hujajibu ?Hasira zikikuisha utaniambia tukutane kijiweni, ila kwa sasa niko zangu Mbeya napigwa na kibaridi cha huku
Nitakujibu vipi wakati unahasira na mimi!Swali langu mbona hata hujajibu ?
Unapigwa baridi sababu umeniacha
Imeishaaa[emoji16]Nitakujibu vipi wakati unahasira na mimi!
Hasira ikiisha utaniambia nikujibu[emoji23]
Nitumie kwanza hela ya wine ninywe nipunguze hili baridi kisha nitakujibuImeishaaa[emoji16]
Nijibu sasa basi wife
Mkuu njoo hapa city lounge upige balimi mbiliHasira zikikuisha utaniambia tukutane kijiweni, ila kwa sasa niko zangu Mbeya napigwa na kibaridi cha huku
Ukisikia rafiki wa kweli ndo kama huyu.... Nakuja punde[emoji39][emoji39][emoji39]Mkuu njoo hapa city lounge upige balimi mbili
Kumbe na wewe ni wa mbeya ngoja nikutafute tuyajenge vizuriwoyooo, bila shaka umepata mtoto mkali wa Mbeya ,safii karibu sana shemeji