Warembo wa Mbeya, mpo?

Warembo wa Mbeya, mpo?

Yeah hali ya hewa flan ya kaubariiidii,hivi punde nitarejea huko kula hizo Avocados, Atupele Mwakamerchante[emoji1] [emoji1]
yaani huku hewa safii, oxgen unajichagulia uvute ipi uache ipi, tofauti na sehemu zingine mnang'ang"aniana mpaka hewa hahaaa, karibu sanaa
 
Ha ha ha! Uko sahihi mkuu haya mambo ya kung'ang'aniana hewa,afu hewa yenyewe ni Carbon monoxide na Methane sio poa. Acha nirejee huko nipate hewa safi juu ya mlima Rungwe pembeni mtoto mkali Tumpe Mwakaforum.
 
Hahaaa, umenichekesha aisee, ila huyo Tumpe mwakaforum tena, ndye wifi yangu ama
 
Back
Top Bottom