financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Hahaaa, havijui kusema hapana?? Dooh mkuu umetuonea kabisaAaah vitoto vimejazia makalioni na tumboni havijui kusema hapana Mbeya ni moja ya sehemu ya mzuri kuishi ktk majiji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa, havijui kusema hapana?? Dooh mkuu umetuonea kabisaAaah vitoto vimejazia makalioni na tumboni havijui kusema hapana Mbeya ni moja ya sehemu ya mzuri kuishi ktk majiji
Hahahah huyo Tumpe Mwakaforum ni wa kula nae maisha tu nikiwa TKY huko. Si unajua watoto wa huko walivyo na afya bora!Hahaaa, umenichekesha aisee, ila huyo Tumpe mwakaforum tena, ndye wifi yangu ama
Ila wapo akina Tusekile Mwakalove hawajui kukataa! Wao utasikia "We niangusage tu sambi sote sako".Hahaaa, havijui kusema hapana?? Dooh mkuu umetuonea kabisa
hahaaaaaaaaa Mwakamerchante wewee,haya banaIla wapo akina Tusekile Mwakalove hawajui kukataa! Wao utasikia "We niangusage tu sambi sote sako".
Nimekaa SOWETO miaka 12 kabla ya kulazimishwa na utafutaji wa maisha kuhamawoyooo, bila shaka umepata mtoto mkali wa Mbeya ,safii karibu sana shemeji
Hahahha kwani Uongo Fainensho Mwakaservice?hahaaaaaaaaa Mwakamerchante wewee,haya bana
Niangusage ni watu wa Iringa. Check your facts kabla ya kuandika...Ila wapo akina Tusekile Mwakalove hawajui kukataa! Wao utasikia "We niangusage tu sambi sote sako".
mmh,sijawahi kuiskia hiyo eti,nimecheka mno hayo maneno sambi sako, au ni nchi jirani ile maana wanatumia majina kama ya kwetu, mtu anaitwa mwakamechante kumbe ni wa nchi jirani hahaaaaHahahha kwani Uongo Fainensho Mwakaservice?
Wewe tumia facts zako mi natumia experience.Niangusage ni watu wa Iringa. Check your facts kabla ya kuandika...
Hahahah basi mkuu!mmh,sijawahi kuiskia hiyo eti,nimecheka mno hayo maneno sambi sako, au ni nchi jirani ile maana wanatumia majina kama ya kwetu, mtu anaitwa mwakamechante kumbe ni wa nchi jirani hahaaaa
ooh, baada ya kutafuta na kuyapata hayo maisha vipi hujafikiria kurudi tena?au ndyo bado hustles zinaendelea.welcome back mkuu,Nimekaa SOWETO miaka 12 kabla ya kulazimishwa na utafutaji wa maisha kuhama
ooh, baada ya kutafuta na kuyapata hayo maisha vipi hujafikiria kurudi tena?au ndyo bado hustles zinaendelea.welcome back mkuu,
ok, ni kweli and pole kwa kufiwa na mpendwa wakoZoezi la kutafuta maisha ni endelevu, nilikuwa huko mwaka jana kuna mpendwa wangu alifariki
Mkuu unafurahia Thad anavonipiga vizinga ?Thad vip mbn luca kaingia mtin endlzen mada mie apa cheko tyu!
hahahaaaa, ntampa mwanangu hili jina pia liko poaaaEti Kuna mtoto ameitwa MwakaMoo
Astaghifilullah!Wanatoa tigo balaa
hahahaaaa, ntampa mwanangu hili jina pia liko poaaa