Warembo wa MMU mmekwenda wapi?

Niko idle so nimeona bora nijipe shughuli ya kufatilia yanayojiriπŸ˜€
Nisije stukia nchi ishauzwa sina habari
Sasa ndo mpk mimi unanisahau..
 
Mkuu hii hali yatisha toka juzi napita humu ni holaa tu! Mpk kichwa kimeanza niuma kwa kuwakosa hao viumbe!.. huo uchaguzi wao unatukosti wengi ktk namna tofautitofauti..[emoji23]
Hakika mzee yaan uchaguzi unanifanya ni suffocate kwa kushindwa kuziona neema za mwenyezi mungu
 
Ngoja nijipanze kwenye huu Uzi huku nikiendelea kutafuna mzoga wangu naona pisi zinapita tu hapa sipeperukii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…