Warembo wa MMU mmekwenda wapi?

Warembo wa MMU mmekwenda wapi?

Niko idle so nimeona bora nijipe shughuli ya kufatilia yanayojiri😀
Nisije stukia nchi ishauzwa sina habari
Sasa ndo mpk mimi unanisahau..
 
Mkuu hii hali yatisha toka juzi napita humu ni holaa tu! Mpk kichwa kimeanza niuma kwa kuwakosa hao viumbe!.. huo uchaguzi wao unatukosti wengi ktk namna tofautitofauti..[emoji23]
Hakika mzee yaan uchaguzi unanifanya ni suffocate kwa kushindwa kuziona neema za mwenyezi mungu
 
Back
Top Bottom