ROGERSHINE
Senior Member
- Aug 15, 2012
- 129
- 82
sasa ungekuwa Udom si ungekufa. pale warembo wote wa nchii wamemwagwa pale
Fahamu kwamba hicho ndicho kitakuwa kifo cha boom lako. Jaribu uone.
Tafuta m1 2kaka u2lie nae lkn chunga sana buum lako.
kweli uskatae kwamba hutokula tena baadae pindi unapomaliza kula................