Warembo wa SUA mwanipotezea concentration mwenzenu..!!

Warembo wa SUA mwanipotezea concentration mwenzenu..!!

Kaka mbona Msimamo unakua impaired simple namna hii?

We assume ni Wabaya na wana Ngoma utadumu kwenye msimamo
daaaah,assuming nyingine utata we,they are so cuteeeeeeeeeeeeeeee
 
Nasikia siku hizi kuna Degree ya tourism hapo,kwa mbaali napata picha ya hao wanafunzi wa kozi hiyo wanavyovaa! Kazi mnayo vijana! Enzi zetu tulikuwa wakulima watupu,muda wa kujipodoa dada zetu watautolea wapi na supp zinakusubiri mult-purpose hall main campus!
 
teh teh teh,wanatutega mbayaaaaaa
 
Ata usipokuwa na demu unaruhusiwa kushika pembe uku makamuzi wakiwa wanafanya wengine
 
A.S.P SAMITI NIPO MUCCoBS HUKU MAMBO NI MAZURI KIASI ,WAREMBO NAO WAPOO ITABIDI NIJITAHIDI KUJICONTROL DHIDI YA HAWA WAREMBO NISIJE KUWA MBEBAJI WA MAKARAI
 
ukitaka kumkomboa masikini si kwa kumpa pesa bali ni elimu tu ndio ukombozi wake!!!ww jamaa ni **** kwani umeenda chuo kusoma au kuangalia mademu take care ndugu yangu huo ujinga tu!!!!zingatia elimu:spy:
 
ah vifaa vipya vimeshuka mji kasoro bahari...itabidi nije kamatia
 
dogo inawezekana wewe umetokea bushi. Tangu lini SUA ikawa na warembo? Ukipelekwa IFM au hata UDSM si utakuwa mwehu.
 
Back
Top Bottom