rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Ukiona picha zao ndio utajua kwanini hawapati wachumbaTunaomba bandiko lisindikizwe na picha zao tuone kama wame-qualify enough kuitwa warembo.
Nawasilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona picha zao ndio utajua kwanini hawapati wachumbaTunaomba bandiko lisindikizwe na picha zao tuone kama wame-qualify enough kuitwa warembo.
Nawasilisha.
Of courseUkiona picha zao ndio utajua kwanini hawapati wachumba
Nawapenda sana wanawake wa Kenya, wanajua kupambania haki zao 😀😀
Ndio lakini wanajua kuandamana kuzipiganiaHaki wakati wameliwa.
Ndio lakini wanajua kuandamana kuzipigania
[emoji23][emoji23][emoji23]Kila la kheri kwao. Lkn waambie, siku nyingine watumie vizuri uwezo wao wa kufikiri, kwani wajinga ndiyo waliwao.
huyo nashuku alianza kuitisha vitu vingi visivyo na msingi vyenye gharama wakati hajafahamiana vizuri na msela.
Wajinga ndio waliwao.[emoji106]Kwani huyo mchungaji yeye ashaolewa? Ikiwa hajaolewa anawezaje kuwaombea wenzake waolewe before ya kujiombea yeye mwenyewe. Btw wajinga ndio waliwao