warembo warembeka

warembo warembeka

omuka

Member
Joined
Jan 14, 2009
Posts
49
Reaction score
1
comment plz
 
Attachments

  • 100_1508.JPG
    100_1508.JPG
    37.1 KB · Views: 2,432
wamependeza ......wangejihifadhi kidooogo wangezidi kupendeza

maana hapo kila kitu nje kabisa
 
hiiii Biashara au! duu wamependeza kweli!
 
Hivi huyu wa kulia nguo imepanda yenyewe au kaipandisha. Mezani sioni kinywaji kikali ila nafikiri huko alikotoka katandika viroba! Au ni kuku wa kienyeji!
 
mi kaniudhi kuvaa mchupi mweusi utadhani muuza mkaa
 
mi kaniudhi kuvaa mchupi mweusi utadhani muuza mkaa

hahaha kuna watu mna maneno hata kama hutaki kucheka utacheka tu..................mchupi mweusi kaa muuza mkaa ee! kaa huuzi mkaa huruhusiwi nyeusi? lol

mwenzio kaona kamechisha na gauni mbona!
 
Maustaadh mpo? Hii ya kuacha matiti nje inakubalika kweli?

Inakubalika wapi?

Hapo matiti na mapaja nje lkn inaonyesha inakubalika hapo walipo ndo maana wakaruhusiwa ukumbini au
 
Hivi huyu wa kulia nguo imepanda yenyewe au kaipandisha. Mezani sioni kinywaji kikali ila nafikiri huko alikotoka katandika viroba! Au ni kuku wa kienyeji!

Anaonekana mentally hayupo hapo kabisa, kama kapoteza sense, inawezekana ni athari ya viroba alivyokunywa awali au alivyochanganya kwenye soda. Kama wapo kwenye kitchen party vile?
 
Waache wajinome hao............wakati ukuta......................
 
kila kitu nje,sijui alichobakisha kwa ajili ya mumewe/mpenziwe ni kipi.siku hiz sehemu za siri ni sehemu za nini sijui coz sio siri tena.
 
Hivi huyu wa kulia nguo imepanda yenyewe au kaipandisha. Mezani sioni kinywaji kikali ila nafikiri huko alikotoka katandika viroba! Au ni kuku wa kienyeji!

Hivi huyu Lulu au Eliza Michael si ni under 18?? sasa kwa nini aliruhusiwa kuingia kwenye kitchen party ya Thea??namwonea huruma anvyokimbilia mambo ya wakubwa!!:doh:
 
mi kaniudhi kuvaa mchupi mweusi utadhani muuza mkaa

Hii inaingia kwenye top Ten za 2011
 
Hivi huyu wa kulia nguo imepanda yenyewe au kaipandisha. Mezani sioni kinywaji kikali ila nafikiri huko alikotoka katandika viroba! Au ni kuku wa kienyeji!

Picha nzuri sana hii, hawa wawili wa kushoto wanaonekana ni warembo kweli
 
hivi siku hizi wanawake hawavai magagulo (underskate) kabisa?
nauliza tu
maana zamani mpaka uione kufuli ujue umebarikiwa
 
mi kaniudhi kuvaa mchupi mweusi utadhani muuza mkaa

haaa halafu likaptura sasa, anatia kichefu chefu kwa kweli, na huyo wa kushoto c ndio kale katoto kaigizaje?...walikuwa kwenye nn hapo na uvaaji huo?
 
Back
Top Bottom