luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
mm sihitaji subiri wanakuja. Hujaona aliyesema hatongozwi?misambwanda sio lazima, ukiwa mrembo inatosha.
kuhusu " wahi offer" mtanisamehe maana nilidhani mpo wengi. na mie nataka mmoja tu. nimefikiria neno zuri la kuweka nimekosa..