mm sihitaji subiri wanakuja. Hujaona aliyesema hatongozwi?misambwanda sio lazima, ukiwa mrembo inatosha.
kuhusu " wahi offer" mtanisamehe maana nilidhani mpo wengi. na mie nataka mmoja tu. nimefikiria neno zuri la kuweka nimekosa..
kwa nn huhitaji jamany? usifanye hivyo luckyline.mm sihitaji subiri wanakuja. Hujaona aliyesema hatongozwi?
Mhh! Kwel?????niamini, kwa hapa Tz sidhani kama yupo anaenishinda.
"mapenzi" ndio ilikua neno langu la kwanza kutamka nlivyokua mtoto.
"its true if you believe it" .. and i believe it.Mg
Mhh! Kwel?????
Sawa mkuuasante, nimepata matumaini sasa hivi. usijali ntawapa mrejesho.
Jirani kipenziAiseeh mbona offer
Aiseeh mbona offer
Jirani yanguJirani kipenzi
Yaan hapo ndipo ulipokoseahili neno "offer" nadhani lishanikosesha girlfriend
Hahahaha offer limepoteza wengiJirani yangu
kichwa cha habari kilinivuta vibaya mno tatizo ndani ya habari nikakutana na neno offer likanivunja moyo [emoji26]
dooh too bad, next time nitakua makini wakati wa kuchagua maneno ya kutumia. poor meYaan hapo ndipo ulipokosea
Maana nilivyokimbia nusu ya kuanguka alafu nikakutana na hilo neno imebid nipumzike tuu niwe mpole
mtoa mada sio mouth zege, namjuaMouth zege wanazid kuongezeka
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone