Wareno wamsusia Ronaldo mechi ya Benifica vs Al Nasri

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Juzi kulikwa na game za maandalizi na msimu mpya wa ligi mbali mbali duniani

Na club ya alnasri ipo barani ulaya kwa mechi mbali mbali

Sasa juzi walicheza na benifica wakapoteza kwa 4-1

Icho sio kitu cha ajabu kufungwa kwasababu alnasri ni timu ya kawaida

Kitu cha ajabu ni bwana mkubwa kukataliwa na mashabki kwani karibu uwanja ulikuwa empty seats ni mashabiki wachache tu waluojitokeza

Hiyo haitoshi hata mechi mtawalia dhidi ya celta vigo ilikosa mashabiki viti vingi vilikuwa wazi

Kwanini ronaldo haheshimiki tena! Kutoka kuwa mchezaji kipenzi cha mabinti na wapenda soka to most hated athletic why?

Ile michezo anayofanyiwa ronaldo imempa nuksi inawezekana
 
Messi fans always want violence

Kwanini swala la uwanja kutokujaa ulihusishe na Ronaldo na sio kwamba ni friend game dhidi ya timu ambayo haina mashabiki tena katika ardhi ya ugenini?
 
Benifica ni miongoni mwa timu mbili kubwa ureno na ronaldo anatokea ureno
Messi fans always want violence

Kwanini swala la uwanja kutokujaa ulihusishe na Ronaldo na sio kwamba ni friend game dhidi ya timu ambayo haina mashabiki tena katika ardhi ya ugenini?
 
Messi fans always want violence

Kwanini swala la uwanja kutokujaa ulihusishe na Ronaldo na sio kwamba ni friend game dhidi ya timu ambayo haina mashabiki tena katika ardhi ya ugenini?
Huyo kwa sababu ya kuwa fana wa Messi bali ni chuki dhidi ya Waarabu ,nada zake karibia zote zimebase hapo kutwa kuziponda Psg ,Mancity kwa sababu ya wamiliki wake pamoja na mada nyinginezo zenye malengo ya kuwashambulia waarabu pamoja na ligi zao.
 
Juzi kulikwa na game za maandalizi na msimu mpya wa ligi mbali mbali duniani

Na club ya alnasri ipo barani ulaya kwa mechi mbali mbali

Sasa juzi walicheza na benifica wakapoteza kwa 4-1

Icho sio kitu cha ajabu kufungwa kwasababu alnasri ni timu ya kawaida

Kitu cha ajabu ni bwana mkubwa kukataliwa na mashabki kwani karibu uwanja ulikuwa empty seats ni mashabiki wachache tu waluojitokeza

Hiyo haitoshi hata mechi mtawalia dhidi ya celta vigo ilikosa mashabiki viti vingi vilikuwa wazi

Kwanini ronaldo haheshimiki tena! Kutoka kuwa mchezaji kipenzi cha mabinti na wapenda soka to most hated athletic why?

Ile michezo anayofanyiwa ronaldo imempa nuksi inawezekana
Sasa ureno wana ugeni gani na Ronaldo mpaka wakamshangae uwanjani wakati kila siku wanamuona ingekuwa marekani au nchi nyingine tofauti na ureno hapo sawa ila ila binadamu bwana
 
Ronaldo ni nyota kwann akose mashabiki

Celta vigo sio ureno ila uwanja ulikuwa tupu
Sasa ureno wana ugeni gani na Ronaldo mpaka wakamshangae uwanjani wakati kila siku wanamuona ingekuwa marekani au nchi nyingine tofauti na ureno hapo sawa ila ila binadamu bwana
 
Mod huu uzi pelekeni jukwaa la udaku kule ndo unapostahili
 
Back
Top Bottom